Ni sahihi Mwalimu kusema, "I am a teacher by profession?"

Amicus Curiae

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2012
Posts
5,352
Reaction score
7,668
Kwanza nikiri tu kwamba nawaheshimu sana Walimu.

Nafahamu kwamba profession yoyote duniani ina sifa kuu nne (4);
(1) Wanavaa mavazi maalumu wakiwa kazini (Attire).

(2) Wana lugha ambazo wanaweza kuzitumia kuwasiliana wao wenyewe kwa kificho (Jargons and Technical terms).

(3) Wana Vyama vya Kitaaluma ambamo wanasajiliwa (Societies).

(4) Kazi zao haziwezi kufanywa na mtu ambaye siyo Mwanataaluma hiyo.

Kwa sifa hizo hapo juu, nawiwa kusema kwamba profession ni tatu tu; WANASHERIA, MADAKTARI na MAINJINIA.

Nitatolea mfano kwa Wanasheria;

●Wakiwa Mahakamani wanavaa majoho (Court attire).

●Wanaweza kuwasiliana wao wenyewe kwa kificho; kwa mfano Mwanasheria akisema "Courts go on vacation", mtu ambaye siyo Mwanasheria itamuwia vigumu kuelewa.

●Wana Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law Society -TLS)

● Kazi zao haziwezi kufanywa na mtu ambaye siyo Mwanataaluma hiyo, lakini wao wanaweza kufanya kazi za taaluma nyingine kama kufundisha, wanafunzi wakaelewa na wakafaulu vizuri tu.

Sasa, siku hizi utasikia mtu anasema, "I am a teacher by profession", hii ni sahihi? Au maana ya profession imebadilika au kuhuishwa?

Naomba kueleweshwa...
 
Askari/wanajeshi ni nini ? Kama huwatambui kuwa ni profession

Tukirudi kwenye mada, profession ni taaluma kwa kiswahili, yani kazi ambayo mtu ameisomea,ana utaalamu nayo au ujuzi. Sio lazima kuwe na sare kama unavotaka

Tukifuata vigezo vyako basi mtoto wako naye ni student by profession kwa sababu ana sare,chama na anafanya kazi ambazo mtu mwingine (baba yake,mama yake) hamuwezi kufanya pia anawasiliana na wenzake kwa lugha wanazojua wao
 
Kwanza nikiri tu kwamba nawaheshimu sana Walimu.

Nafahamu kwamba profession yoyote duniani ina sifa kuu nne (4);
(1) Wanavaa mavazi maalumu wakiwa kazini (Attire).

(2) Wana lugha ambazo wanaweza kuzitumia kuwasiliana wao wenyewe kwa kificho (Jargons and Technical terms).

(3) Wana Vyama vya Kitaaluma ambamo wanasajiliwa (Societies).

(4) Kazi zao haziwezi kufanywa na mtu ambaye siyo Mwanataaluma hiyo.

Kwa sifa hizo hapo juu, nawiwa kusema kwamba profession ni tatu tu; WANASHERIA, MADAKTARI na MAINJINI.

define kwanza maana ya profession:

any type of work that needs special training or a particular skill, often one that is respected because it involves a high level of education:

Professionalism’s Nine Elements
#1 Initial Professional Education/education

.#2 Accreditation

#3 Skills Development

#4 Certification
.
#5 Licensing

#6 Professional Development

#7 Professional Societies

#8 Code of Ethics

#9 Organizational Certification

Jiulize hiyo criteria ya mavazi ipo hapo?
 
Nakuunga mkono! Kwa nnavyojua ziko profession 4 kuu duniani (pia zinaitwa nobble professions)

1. Engineering

2. Doctors

3. Lawyers

4. Accountants.

NB: Sifa kuu ya kwanza ninkuwa na chama au bodi inayo wa control (sisemei CWT) hii bodi inakua na sheria na utaratibu wa kuwatambua watu katika bodi yao na kuwapa leseni inayoisha baada ya muda flani! mfano baada ya ku graduate huwezi kuwa injinia ni lazima upitie mchujo wa bodi ya mainjinia Tz ili utambulike kama injinia.
 
Askari/wanajeshi ni nini ? Kama huwatambui kuwa ni profession

Tukirudi kwenye mada, profession ni taaluma kwa kiswahili, yani kazi ambayo mtu ameisomea,ana utaalamu nayo au ujuzi. Sio lazima kuwe na sare kama unavotaka

Tukifuata vigezo vyako basi mtoto wako naye ni student by profession kwa sababu ana sare,chama na anafanya kazi ambazo mtu mwingine (baba yake,mama yake) hamuwezi kufanya pia anawasiliana na wenzake kwa lugha wanazojua wao
Shida inaanzia hapa.

Badala ya kutulia ukasoma uzi vizuri na kuelewa, wewe moja kwa moja umekimbilia ku-comment.

Hebu tazama mwenzako kwenye post #5 na #6 alivyo-comment, anaonekana ameelewa kabisa maudhui ya bandiko langu.
 
define kwanza maana ya profession:

any type of work that needs special training or a particular skill, often one that is respected because it involves a high level of education:

Professionalism’s Nine Elements
#1 Initial Professional Education/education

.#2 Accreditation

#3 Skills Development

#4 Certification
.
#5 Licensing

#6 Professional Development

#7 Professional Societies

#8 Code of Ethics

#9 Organizational Certification

Jiulize hiyo criteria ya mavazi ipo hapo?
Hujanielewa mkuu, naona umekimbilia kwenye maana na vigezo vilivyoainishwa kwenye wikipedia [emoji28]
 
Nakuunga mkono! Kwa nnavyojua ziko profession 4 kuu duniani (pia zinaitwa nobble professions)

1. Engineering

2. Doctors

3. Lawyers

4. Accountants.

NB: Sifa kuu ya kwanza ninkuwa na chama au bodi inayo wa control (sisemei CWT) hii bodi inakua na sheria na utaratibu wa kuwatambua watu katika bodi yao na kuwapa leseni inayoisha baada ya muda flani! mfano baada ya ku graduate huwezi kuwa injinia ni lazima upitie mchujo wa bodi ya mainjinia Tz ili utambulike kama injinia.
Mkuu, nashukuru kwasababu wewe ndio umenielewa.

Napata uzito sana kuendelea kubishana na watu humu kwasababu wengi hawajanielewa lakini cha ajabu wamekimbilia ku-comment! [emoji28]
 
Oxford wanalielezea neno profession kama;

a paid occupation, especially one that involves prolonged training and a formal qualification.
"his chosen profession of teaching"

Na mfano waliotoa ni huo wa mwalimu, ambaye wewe mleta mada unasema sio taaluma. Sasa sijui nani mjuzi zaidi wa haya mambo
 
Kwa msaada wa Wikipedia
 
Attachments

  • Screenshot_20230827-140923.png
    Screenshot_20230827-140923.png
    66.8 KB · Views: 12
Shida inaanzia hapa.

Badala ya kutulia ukasoma uzi vizuri na kuelewa, wewe moja kwa moja umekimbilia ku-comment.

Hebu tazama mwenzako kwenye post #5 na #6 alivyo-comment, anaonekana ameelewa kabisa maudhui ya bandiko langu.
Sasa Mkuu unaleta mada hapa alafu unataka tuijadili unavyotaka wewe kwa maoni yako ? Si bora ungekaa nayo mwenyewe sasa,kuleta hapa maana yake umetaka tuijadili na mimi nimeisoma vizuri na kutoa maoni yangu kwamba wewe haupo sahihi.

Tena nimekujibu kwa kutumia akili bila ku google, hata waliotuletea source za Google sijapishana nao,wameleta kitu kile kile nilichozungumza mimi
 
MWALIMU
1.kazi hii haiwezi kufanywa na mtu ambaye hajasomea,
walimu wamefunzwa jinsi ya kuishi na watoto nk ,ndio maana kuna walio specialize kufundisha watoto wadogo tu

2. Walimu wana Techninical Terms
Kwa mfano syllabus hii ni Technical terms kama walizonazo ma doctor na Engineers

3. Walimu wana vyama vyao
Kuna chama cha Walimu Tanzania nk

4. Wana mavazi maalumu wakiwa kazini

Baadhi ya walimu katika baadhi ya nchi wana mavazi maalumu wakiwa kazini

Hivo basi ninahitimisha kwamba Teaching is arguably a profession, mleta mada ninapingana na wewe kwa Hoja zangu hizo, basi tetea hoja yako na usikimbilie kusema sijaelewa mada yako.
Nimekuelewa vizuri sana na ukitaka nitasema hata barmaid ni profession kwa sababu wanavyo vigezo ulivyotaja kwamba ndio vina determine professionalism

NB
JF ni platform ya kujenga hoja,ukileta hoja yako tukakupinga kwa facts sio kwamba hatujakuelewa ama sisi ni wabishi,tetea hoja yako
 
Back
Top Bottom