Ni sahihi Mkuu wa Majeshi(CDF) kufanya Press conference?

Ni sahihi Mkuu wa Majeshi(CDF) kufanya Press conference?

Hahaha utawala huu tutashuhudia mengi. [HASHTAG]#Cdf[/HASHTAG] amekurupuka
 
~~>>>Ni hivi baba ukizoea kuwa mkali.... Ukifika tu nyumbani hata kama ni Usiku watoto watatoa ng'ombe kwenda kuchunga ili tu waonekane wako bize...

~~~>>>Hivyo hivyo awamu hii..... Kila mmoja atafanya lolote ama kuongea lolote ilimradi aonekane yuko bize....
 
Sioni ubaya kufanya press conference... Labda ubaya utokane na aliyozungumza

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli, ubaya ni kama CDF hawapi nafasi wanahabari kumuuliza maswali.

Press conference ni kitu kikubwa na kizuri sana katika uongozi unaothamini uwazi. Inaondoa habari za "andika maswali yako, tutakujibu kwa maandishi". Ukishapewa habari hizo maana yake ni kwamba, hata kama kuna jibu la kuchakachua, watu watajipanga kuchakachua vizuri.

Sasa huyu CDF anataka kufanya press conference awape watu pure uncut from Bolivia.

Watu wanalalamika?

Wanamlalamikia CDF kwa sababu ameonyesha uwazi zaidi kukaa na wanahabari na kuongea nao moja kwa moja?

Walitaka waandishi wa habari waambiwe waandae maswali ya maandishi, watajibiwa kimaandishi baada ya wiki mbili?

Sent from my Kimulimuli
 
Kwa kweli, ubaya ni kama CDF hawapi nafasi wanahabari kumuuliza maswali.

Press conference ni kitu kikubwa na kizuri sana katika uongozibunaothamini uwazi. Inaondoa habari za "andika maswali yako, tutakujibu kwa maandishi". Ukishapewa habari hizo maana yake ni kwamba, hata kama kuna jibu la kuchakachua, watu watajipanga kuchakachua vizuri.

Sasa huyu CDF anataka kufanya press conference awape watu pure uncut from Bolivia.

Watu wanalalamika?

Wanamlalamikia CDF kwa sababu ameonyesha uwazi zaidi kukaa na wanahabari na kuongea nao moja kwa moja?

Walitaka waandishi wa habari waambiwe waandae maswali ya maandishi, watajibiwa kimaandishi baada ya wiki mbili?

Sent from my Kimulimuli
Kwani waandishi hawajapewa chance ya maswali?
 
Ifike mahali tuache kujifanya kila jambo tunalifahamu hivi nani anatudanganya hivi yaan kikaragosi unahoji Uhalali wa Jenerali kufanya press??
Mungu ibariki Tanazania naona wale vicha laki 7 humu wanatoka nusu khaaa
 
Kwani waandishi hawajapewa chance ya maswali?
Nani kasema waandishi hawajapewa chance ya maswali?

Umeelewa nilichoandika?

Nimeandika kwamba CDF kufanya press conference si tu si kitu kibaya, bali pia ni kitu kinachotakiwa katika jeshi linalopenda uwazi.

Na kitu kibaua si CDF kufanya press conference.

Kitu kibaya ni CDF kutofanya press conference.

CDF akifanya press conference waandishi wanapata nafasi ya kumuuliza maswali ya moja kwa moja, siyo habari za "tupe maswali kimaandishi, tutakujibu kimaandishi".

Press conference ina uwazi zaidi hivyo ni nzuri zaidi.

Ushaelewa?

Sent from my Kimulimuli
 
Kwani kasema jeshi ndio wanaingia mzigoni ?Au kawaambia police iwepo watuhumiwa wakikamatwa wahojiwe kama walishawahi kupitia jkt

Cdf anayaongoza majeshi yote ikiwepo polisi fahamu hilo jambo lolote la national security lazima apewe ripoti sabb police wapo chini yake kwahali inayoendelea lazima afahamu branch yake ya police kazi wanaifanya kwa uweledi upi huenda unadhani police wapo independent .hapana hawapo independent cdf anawamiliki

Kwahiyo kuongea na media kujidhalilisha hebu mtafute cdf wa USA ana press conference zaidi ya 100 akizungumzia national security nk nk..ni mara ngapi umemsikia akiongea kama sio mara moja pia fahamu major general kashambuliwa na mauaji ya mara kwa mara hivyo lazima awe concerned na national security
hata huyu mlinzi wa meja gen aliyepigwa risasi ni JKT yule kwa maelezo ya Mambosasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Flashback 2010...

Wangapi wanakumbuka kilichotokea tukielekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010? Zilikuwa zimebakia siku 30 tuingie kwenye uchaguzi CCM ikiwa imekabwa koo na Chadema and guess what? Ghafla akajitokeza Mnadhimu Mkuu wa JWTZ, Kanali Abdulrahman Shimbo na huku akiwa amezungukwa na maafisa wa juu wa Polisi na TISS akatoa kauli ya vitisho kwa wananchi akiwataka wawe tayari kupokea matokeo yoyote yale yatakayotangaza na tume.

pic.jpg

​
Hili lilikuwa ni tukio la kushangaza lililowaacha wanachi mdomo wazi wakijiuliza Jeshi na Siasa wapi na wapi. Hata hivyo saluti zimwendee aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya ulinzi wakati huo Jenerali Davis Mwamunyange kwa kutojiingiza katika kinachoweza kutafsiriwa tu kama mbinu ya kuwatia woga wapiga kura.

Fast Forward 2017...

Safari hii Mkuu mwenyewe wa Jeshi Jenerali Venance Mabeyo kajitokeza kuongea na vyombo vya habari akiwatahadharisha wananchi, je kulikoni? Naambiwa na huko Bungeni Spika Ndugai kawa mbogo anawatisha hadi Wabunge na tayari Mbunge moja wa Upinzani Mh. Tundu Lissu tayari anapigania uhai wake mwili wake ukiwa na majeraha ya risasi kumi! Watanzania tunaelekea wapi? Je kwa mwendo huu tutafika?
 
Nani kasema waandishi hawajapewa chance ya maswali?

Umeelewa nilichoandika?

Nimeandika kwamba CDF kufanya press conference si tu si kitu kibaya, bali pia ni kitu kinachotakiwa katika jeshi linalopenda uwazi.

Na kitu kibaua si CDF kufanya press conference.

Kitu kibaya ni CDF kutofanya press conference.

CDF akifanya press conference waandishi wanapata nafasi ya kumuuliza maswali ya moja kwa moja, siyo habari za "tupe maswali kimaandishi, tutakujibu kimaandishi".

Press conference ina uwazi zaidi hivyo ni nzuri zaidi.

Ushaelewa?

Sent from my Kimulimuli
Anhaa

Ulimaanisha CDF Akifanya press conference, maana yake waandishi wanapata direct answers kutoka kwake na siyo afanye msemaji, then ayachukue maswali na kuyapeleka kwa CDF kwa ajili ya majibu ya baadae ambayo hawatopewa direct na CDF. Right?
 
Yes.

Information Theory inasema kama unaweza kuondoa middle man ni bora kuondoa. Kwa sababu each time una middle man, something is likely to get lost in translation.

The more hops information has to go through, the more likely it is going to get corrupted.

Kuna mambo msemaji anaweza kuhitaji idhini ya CDF kuyaongelea. CDF akifanya press conference anaweza kuyaongelea moja kwa moja.

Sasa kwa nini watu wanashangaa CDF akifanya presa conference na kujibu mambo moja kwa moja?

Sent from my Kimulimuli
 
Je, nani asimame aitikise Dunia -By Bahati Bukuku

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Mimi nauliza nilazima mkuu wamajeshi Stoke jw? Nasababu niwekee nakasio lazima kila kwanini kila teuzi mkuu was majeshi hatoki hata police?
Una matatizo wewe, kila Jeshi lina mkuu wake. Fanya homework kidogo
 
Jeshi limeingiliwa kwa Mara ya kwanza tangu mwalimu jeshi litatumika kisiasa atadharauriwa cdf kama siro kwa as Abu nafasi zao wamezifanya za kutumikia wanasiasa badala ya nchi
CDF wa sasa hana Mvuto kwa Asikari wake wengi wananung'unika juu yake ' wanadai kazuia mikopo na marupurupu mengi ambayo Mwamnyange aliyaacha jeshini, yaani Asikari wanatamani CDF asitaafu hata week ijayo wapumue.
 
Kwa mara ya kwanza toka niwe na ufahamu leo ndiyo nimeshuhudia mkuu wa Majeshi ya Tanzania akifanya press conference badala ya msemaji wa jeshi.

Sikuishuhudia hii kipindi cha Mwamunyange, waitara nk.

Je ni nini kimemsukuma Jenerali Venance Mabeyo kufanya alivyofanya leo?
Mwaka 2016 ulikua bado hujazaliwa ndugu
 
Back
Top Bottom