Una umri gani?Kwa mara ya kwanza toka niwe na ufahamu leo ndiyo nimeshuhudia mkuu wa Majeshi ya Tanzania akifanya press conference badala ya msemaji wa jeshi.
Sikuishuhudia hii kipindi cha Mwamunyange, waitara nk.
Je ni nini kimemsukuma Jenerali Venance Mabeyo kufanya alivyofanya leo?
Umehoji vizuri sana. Why now? Ukiangalia mtiririko wa matukio na kujitokeza CDF kuzungumzia usalama wa nchi lazima kuna jambo tena zito. Jambo hilo laweza kuwa KWA MANUFAA YA NCHI NZIMA au manufaa ya kikundi fulani.Flashback 2010...
Wangapi wanakumbuka kilichotokea tukielekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010? Zilikuwa zimebakia siku 30 tuingie kwenye uchaguzi CCM ikiwa imekabwa koo na Chadema and guess what? Ghafla akajitokeza Mnadhimu Mkuu wa JWTZ, Kanali Abdulrahman Shimbo na huku akiwa amezungukwa na maafisa wa juu wa Polisi na TISS akatoa kauli ya vitisho kwa wananchi akiwataka wawe tayari kupokea matokeo yoyote yale yatakayotangaza na tume.
Hili lilikuwa ni tukio la kushangaza lililowaacha wanachi mdomo wazi wakijiuliza Jeshi na Siasa wapi na wapi. Hata hivyo saluti zimwendee aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya ulinzi wakati huo Jenerali Davis Mwamunyange kwa kutojiingiza katika kinachoweza kutafsiriwa tu kama mbinu ya kuwatia woga wapiga kura.![]()
Fast Forward 2017...
Safari hii Mkuu mwenyewe wa Jeshi Jenerali Venance Mabeyo kajitokeza kuongea na vyombo vya habari akiwatahadharisha wananchi, je kulikoni? Naambiwa na huko Bungeni Spika Ndugai kawa mbogo anawatisha hadi Wabunge na tayari Mbunge moja wa Upinzani Mh. Tundu Lissu tayari anapigania uhai wake mwili wake ukiwa na majeraha ya risasi kumi! Watanzania tunaelekea wapi? Je kwa mwendo huu tutafika?
Kwani ajabu yake ni nini? kuishi kimazoea ni janga la watanzania wengi....Kwa mara ya kwanza toka niwe na ufahamu leo ndiyo nimeshuhudia mkuu wa Majeshi ya Tanzania akifanya press conference badala ya msemaji wa jeshi.
Sikuishuhudia hii kipindi cha Mwamunyange, waitara nk.
Je ni nini kimemsukuma Jenerali Venance Mabeyo kufanya alivyofanya leo?
Hakuna sahihi.........!.Ni sahihi Kabisa CDF kurelease Press, Kumbuka huyo ni Acting Leader akitoka Raisi anakuja CDF kwa Maamuzi hao kina Prime minister, VP ni Ceremonial figures mbele ya CDF
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado wanahisi kuna wanaye mtisha kwa jazba zao? Wazipunguze wasije jiua kwa shinikizo la damu, WaTz hawatishwi hivyo.Kazi ya IGP leo imefanywa na CDF.
Halafu mbona watu wa kanda ile wanazungumza kwa jazba na hasira sana?
Huyo major mstaafuKumbuka major general kavamiwa na kupigwa risasi hivyo sio ishu yeye kuja na kulizungumzia hilo tukio na kutuliza hali inayoendelea nchini
Major general mtu mkubwa ase jeshini nadhani lengo haswa ya press ilichagizwa na major general kuvamiwa kwa bunduki
Jeshi limeshakamatwa na Mzee wa fent fordKwa mara ya kwanza toka niwe na ufahamu leo ndiyo nimeshuhudia mkuu wa Majeshi ya Tanzania akifanya press conference badala ya msemaji wa jeshi.
Sikuishuhudia hii kipindi cha Mwamunyange, waitara nk.
Je ni nini kimemsukuma Jenerali Venance Mabeyo kufanya alivyofanya leo?
Umewaelewesha vizuri..CDF naye, by virtue of being CDF, ni msemaji wa jeshi, hata kama si kwa title.
Kwa sababu huyo msemaji wa jeshi mwenyewe anapitisha mambo kwa CDF kabla ya kusema.
Ulichosemani kama unashangaa rais kufanya press conference badala ya Msigwa.
Kama rais anaweza kufanya press conference, kwa nini CDF asiweze?
Tatizo tumewafanya wanajeshi wetu kama miungu watu, we need to humanize them.
Hapo kafanya press conference tu hivyo, angeenda mashuleni kupigisha gwaride future recruits?
Serikali ni kuna kitu kinaitwa protokali. Ni somo zima na ni lazima lizingatiwe, Sizonje hafwati protokali, badala yake analeta usukumaKwani kila kitu lazika tufanye kama 'nchi' fulani?
MYHD
Kwa mara ya kwanza toka niwe na ufahamu leo ndiyo nimeshuhudia mkuu wa Majeshi ya Tanzania akifanya press conference badala ya msemaji wa jeshi.
Sikuishuhudia hii kipindi cha Mwamunyange, waitara nk.
Je ni nini kimemsukuma Jenerali Venance Mabeyo kufanya alivyofanya leo?
Wewe uliyebalehe zamani ulishawahi kumshuhudia mkuu yupi wa Majeshi akifanya PR?
North Korea!Je, nani asimame aitikise Dunia -By Bahati Bukuku
An ant on the move does more than a dozing ox.
Samahani,Kwa ufahamu wangu mdogo mi naona hao wote ni watu wanaosimamia masuala yahusuyo watu,tunachokihitaji wananchi ni kuishi Kwa uhuru usawa na haki.Pia Senior Officers of the army ndo wenye Mandate ya Kufanya Press conference na yeye akiwemo kwenye senior officers/yaani ni mmoja wao.Na habari ya kwamba hujawahi kuona hiyo hutegemea na mtu Mwenyewe ana maintain vipi status yake katika jamii.Kwa mara ya kwanza toka niwe na ufahamu leo ndiyo nimeshuhudia mkuu wa Majeshi ya Tanzania akifanya press conference badala ya msemaji wa jeshi.
Sikuishuhudia hii kipindi cha Mwamunyange, waitara nk.
Je ni nini kimemsukuma Jenerali Venance Mabeyo kufanya alivyofanya leo?
We hujui JF ni sawa na gazeti la udaku.mbona jamii forum kunakuwa na mameno ya kejeli namna hii.?? this is bad kwa kweli. mtu unakuja tu unaanza kuwaambia wenzako wamebalehe jana.. ni ajabu sna hii
Acha uongoNi sahihi Kabisa CDF kurelease Press, Kumbuka huyo ni Acting Leader akitoka Raisi anakuja CDF kwa Maamuzi hao kina Prime minister, VP ni Ceremonial figures mbele ya CDF
Sent using Jamii Forums mobile app