Ni sahihi kuvaa nguo za mume wako?

Ni sahihi kuvaa nguo za mume wako?

Ni sahihi kabisa. Inakuweka karibu na mwenzio. Mm navaa T-shirts, shirts, boxer na vest. [emoji7][emoji7][emoji7]
 
Me nampaga sana uhuru wa kuvaa nguo zangu hata niwapo home, anavaa. Na ninapenda sana kumuona akiwa anavaa kwakua nguo anazovaa sio zile suruali, au za ndani.. Wanawake wanapenda kuvaa t-shirt tu... Kwangu poa saaana
 
Ni sahihi kabisa. Inakuweka karibu na mwenzio. Mm navaa T-shirts, shirts, boxer na vest. [emoji7][emoji7][emoji7]
Na akipaka Rose roll on na wewe unatinga kesho kazini unanukia rose roll on
 
umejidefend kabisa eti ''SIO KAMA NAMUONEA WIVU" ,,, hata vyupi wanajipalilia pia.
 
Huku kwetu Kwamtogole jirani yangu anavaa nguo kama t-shirts za mume wake na khanga au kitenge mume wake akiwa kazini. Si kuwa ninamwonea wivu kwakuwa ana mume ninauliza tu je ni sahihi hivi anavyo fanya?
Kawaiada sana,ila boxa zetu mnatupanulia !! Yaani boxa inakuwa bukta [emoji16] [emoji16]
 
Huku kwetu Kwamtogole jirani yangu anavaa nguo kama t-shirts za mume wake na khanga au kitenge mume wake akiwa kazini. Si kuwa ninamwonea wivu kwakuwa ana mume ninauliza tu je ni sahihi hivi anavyo fanya?

Jamani mbona Rafiki yako tena Kwa nini Usijiseme wewe? Hii Tabia ya kujiondoa kwenye Uhalisia inasababishwa na Nini? Ukijitaja wewe kuwa unapenda kuvaa nguo za Mume wako itakupunguzia nini? Hata kipigwa ban lakini Tabia yako Mkuu huwa siependi yakuwasemea wenzio tu
 
Mimi sina mume
 
Back
Top Bottom