Ni sahihi kuvaa nguo za mume wako?

Hakuna kitu napenda kama nimpendae akijiachia na mtisheti wangu, enzi za ujana nilikua napenda sana kwan alikua anavaa t-shirts zangu afu ni kubwa kinomaaaa na vi-jeans modo vyake
 
Yaani raaaha mnooo...
Unapiga tshirt yake na skin yako chini muruuuaaa.......
Onja uone
 
Back
Top Bottom