Ni sahihi kuvaa nguo za mume wako?

Ni sahihi kuvaa nguo za mume wako?

mbona kuvaliana mke na mume poa tu. hata mimi na mke wangu twavaliana sana.
mqdefault.jpg
 
Du kwahiyo mimi flat screen ukiniona ni kama umeona men mwenzako
ndio maana haujaolewa kama ni kweli flat screen,utasubiri sana kwa hii dunia ya ushindani,mimi kama mwanamke hana chura hata awe ana sura kama malaika hata asinisogelee..
 
doooohhhh,mkeo hajui avatar yako??sitaki ushahidi mimi😀😀😀😀😀😀
Hanaga mambo ya mitandao. [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]

Kazi kwenu ambao mnafatiliwa [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Kwangu mm sio sahihi hata kama ingewa vp?.Just imagine janaume livae kinguo cha mkewe,let say bikini then ya Mungu mengi unapatwa na dhoruba ghafla ambapo utahitaji kusaidiwa na wanaume au hata wanawake,utatafsirika vp?
 
Mie mpenzi wangu huvaa boksa zangu akiwa ghetto, tshirt zangu pia kama tukiwa tunaenda kutembea pamoja.....sioni tatizo la mpenzi wako kuvaa nguo zako, japo mie pia huwa navaa za kwake usiku tukimaliza kuoga kabla ya kula.
 
Back
Top Bottom