Ni sahihi kuvaa nguo za mume wako?

Ni sahihi kuvaa nguo za mume wako?

Mie mpenzi wangu huvaa boksa zangu akiwa ghetto, tshirt zangu pia kama tukiwa tunaenda kutembea pamoja.....sioni tatizo la mpenzi wako kuvaa nguo zako, japo mie pia huwa navaa za kwake usiku tukimaliza kuoga kabla ya kula.
Unavaa Sindiria zake,bikinini au nini mkuu?
 
c50bbdfe0b4b0e2c74553941d9147a62.jpg

ec2b8e61f1e70a45b8c3f7c0f19e967c.jpg
 
Mkuu umenikumbusha kuna demu akiona umepiga picha umependeza utaskia beb iyo ya juu cku nikija naondoka nayo
 
Yaani mimi binafsi nina mpango wa kuja kuvaa hadi boxer ya mume wangu! [emoji23]
 
Huku kwetu Kwamtogole jirani yangu anavaa nguo kama t-shirts za mume wake na khanga au kitenge mume wake akiwa kazini. Si kuwa ninamwonea wivu kwakuwa ana mume ninauliza tu je ni sahihi hivi anavyo fanya?
Mkivaa twajisikia bichwa kubwa mno, very sexy, hasa kama tuko wawili tu ndani, umekavaa ka t-shirt au kashati bila chochote ndani, acha kabisa...
 
ahh siku hizi wanavaa sana, hasa mashati, tshirt, na boxer zetu
 
Kwa mtazamo wa kiimani ya dini ya kiislamu si sahihi.sio kwa mwanamke tu Bali hata mwanaume
Samahani kwa hili nakujibu ila sio kwa nia mbaya, narudia tena nisamehe.
Unasema kwa imani ya kiislamu sio hairuhusiwi! Ila mie nilisomaga kachuo Fulani hivi na wanaume wa Kizanzibar, waislamu walikuwa wamekuja na vitenge vya wake zao, siku hiyo nikawauliza sababu ya kuja na hizo nguo, wakasema kuwa zinawasaidia kihisia anakuwa kama yuko na "my wife wake" muda wote. Sasa huko Zanzibar si ndio kuna waislamu haswaa!!!
Again, samahani
 
Raha sana muvaa nguo za Mme unafeel uwepo wake tena wangu hua ananipa mwenyewe
 
Mbaya ni mwanaume kuvaa nguo za mke wake, mfano nyonyo suspender, blauzi nk nk.
 
vyumba vinaficha mengi mama. Ukute huyo mke anavaa t-shirt mkamuona nje, mume yeye anapiga umini wa mkewe akiwa chumbani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nina binamu yangu anaishi kijijini yeye ameapa hatavaa mtumba mashati yake ni ya kitenge yanashonwa na fundi charahani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ubaya ni kuwa mume hawezi kujipiga na magauni ya mkewe

Huku uswazi kwetu tunatinga vitenge vya mke kuanzia wa kwanza mpaka wa nne. Inategemea umelala wapi. Kifua wazi na mswaki mdomoni. Ndio unaonekana baba mwenye nyumba haswaa. Unaacha kengele zipigwe upepo kidogo. Niko napiga soga na mangi hapa
 
Back
Top Bottom