Ni sahihi kuvaa nguo za mume wako?

Ni sahihi kuvaa nguo za mume wako?

Mi naona ni sahihi coz ni sign mojawapo ya we are together yani namaanisha changuchakochakochangu
 
Kuvaa nguo za mpenzi sio kwa mtogole pekee, Keith Urban my favorite country music singer aliimba wimbo "you look good in my shirt." Wimbo wa 2002 lakini bado unapendwa na wengi.
 
Mi sioni shida kiukweli,, ni mume wake,,, T-shirt mtu yeyote aweza vaa lakini blauz mume hawezi vaa. So, no plob on that.
 
Kuna siku nkatest kuvaa yake,, looh, mbona nlivua baada ya dk kadhaa maana abdallah kichwa wazi alibanwa, mda wote anajitutumua apenyeeee,

Acha wavae ze2.
 
Huku kwetu Kwamtogole jirani yangu anavaa nguo kama t-shirts za mume wake na khanga au kitenge mume wake akiwa kazini. Si kuwa ninamwonea wivu kwakuwa ana mume ninauliza tu je ni sahihi hivi anavyo fanya?
Kam mmewe hamnunulii nguo zake unazan itakuaje ata kam ingekua ni ww? So me naona ni sahh 2 n avae mpk boxa zake mixer kufuli ikibid, mana madume yanayovaa kufuli pia yapo
 
Kam mmewe hamnunulii nguo zake unazan itakuaje ata kam ingekua ni ww? So me naona ni sahh 2 n avae mpk boxa zake mixer kufuli ikibid, mana madume yanayovaa kufuli pia yapo
Uzuri wake nyinyi hamuwezi kuvaa za kwetu
 
Nisawa kabisa kwani siwana shea shuka moja kujifunika
 
Back
Top Bottom