Ni sahihi kumkaribisha Muislamu nyama ambayo haikuchinjwa kidini?

Kama vile Wakristo wanavyompiga marungu nguruwe kisha wanamchinja. Vile haifai.
Na pale hujachinja, kuchinja ni kuua kwa kukata shingo. Ukishampiga marungu akafa inakuwa unamkata kata tu. Hiyo haifai.
Hii y akupiga marungu ilikuwa ni miaka ya zamani sana. Siku hizi ''mdudu'' anachinjwa kama ng'ombe tu.
 
Hilo liko Waziri kwa hapa Tanzania. Ninachojiukiza tu ni huwa wanafanyaje pindi wawapo kwenye nchi zisizo na huo utaratibu?

Je, bidhaa imported zilizotokana na nyama kama soseji wanafanyaje?
Ulaya kuna maduka yanayouza nyama ''halal'' na utakuta yameandikwa kabisa. Mengi yanamilikiwa na waturuki au waafrika kutoka kwenye mataifa kama Misri, Morocco na Tunisia.
 
Mkristu akichinja kunakua na nini kwani?
Hakuna kitu maana Waislam, Wakristo na Wayahudi ni watu wa vitabu na wanaamini Mungu
Ukichukua kisu kikali na kumchinja shingoni moja kwa moja kwa kutamka kwa kuanza na jina la Mungu basi hiyo nyama wote wanaweza kula
Ila asiwe kibudu au kumuuwa kwa njia tofauti na hivyo
Dini sio ngumu hivyo kama ukisoma na sio vibaya kusoma na za wengine kuongeza maarifa
Ila naona kuna watu wanapotosha wakati sheria zipo
 
Bora!
 
nishindwe kununua kanyama robo buchani kisa sjui kachinja nan🙄🙄,oya weee kam una uwezo wa kuangusha ng'ombe home kwako hongera mkuu,,ila usitufokee sasa
 
Utaratibu wa kuchinja tz uko pow wala hauna shida ndio maana hata waislam hununua nyama buchani
 
Sheikh, dini ina taratibu zake sio mazoea. Katika sharti za kuchinja, kuelekea qibla haipo. Si lazima. Lililo la lazima ni kutajwa jina la Mwenyezimungu. Na lau aliyechinja si muislam, wala haulazimiki kuuliza kama alitaja jina la Mwenyezimungu. Lililo muhimu ni kuwa alichinja na hakuchinja kwa lengo la kutolea kafara au vitu mfano wa hivyo.
Usilazimishe mambo usiyo na elimu nayo
 
Back
Top Bottom