Ni sahihi kumkaribisha Muislamu nyama ambayo haikuchinjwa kidini?

Nani amesema mkristo yatakiw kuchinja binafs ukichinja huku unatanuia maneno ya kimajini pia huwa siri mpaka qchinje mkristo mwenzangu
 
Hatakufa, lakini unafikiri atakuchukuliaje siku akigundua kuwa ulimlisha "haramu" kwa makusudi?

Masuala ya imani yapo very complicated. Si ya kuyachukulia kirahisi.
Wewe kinachokufanya useme ni haramu ni nini? Uharamu wake hasa ni nini?
 
Muislam haamini katika mungu watatu kama mkristo kwahiyo hawezi kula
Siku za nyuma nilimsikia kiongozi mmoja akisema kama mnyama kachinjwanna Askofu Muislamu atakuwa huru kula? Kuna ukweli wowote katika hilo?
 
Katika kuchinja kwa waislamu,kwanza uelekee kibla kwasababu kuchinja ni ibada,pili litajwe jina la Mwenyezi Mungu.
Je asiye muislamu anakamilisha vigezo hivyo?

Kwa nyongeza mnyama anatakiwa achinjwe kwa kisu kikali ili afe chap ili asiteseke sana
Hizo ni taratibu za kiislam, hazimhusu mkriso kea namna yoyote ile.
 
Wewe kinachokufanya useme ni haramu ni nini? Uharamu wake hasa ni nini?
Hakuna kilicho haramu kwangu, lakini si kila kitu kinafaa kwangu.

Uhuru wangu mimi si uhuru wa wengine.

Anayeamini kitu fulani ni haramu itabaki hivyo kwake muda wote wa imani yake.

Na, kwa mujibu wa imani, kitimoto ni haramu kwa Waislamu na Wasabato, nafikiri na Wayahudi.
 
Siku za nyuma nilimsikia kiongozi mmoja akisema kama mnyama kachinjwanna Askofu Muislamu atakuwa huru kula? Kuna ukweli wowote katika hilo?
Hapana Muislam haruhusiwi kula nyama ya mzoga au aliechinjwa kwa jina lisilokua la Mwenyezi Mungu.
 
Nani amesema mkristo yatakiw kuchinja binafs ukichinja huku unatanuia maneno ya kimajini pia huwa siri mpaka qchinje mkristo mwenzangu
Ni vigumu kutokula nyama iliyochonjwa na Muislamu. Mbona wamekuwa wakichinja tokea uhuru mapaka sasa? Kama umeshawahi kula nyama za buchani, basi umeshakula nyama ilivyochinjwa na Waislamu.
 
Katika kuchinja kwa waislamu,kwanza uelekee kibla kwasababu kuchinja ni ibada,pili litajwe jina la Mwenyezi Mungu.
Je asiye muislamu anakamilisha vigezo hivyo?

Kwa nyongeza mnyama anatakiwa achinjwe kwa kisu kikali ili afe chap ili asiteseke sana
Sheikh, dini ina taratibu zake sio mazoea. Katika sharti za kuchinja, kuelekea qibla haipo. Si lazima. Lililo la lazima ni kutajwa jina la Mwenyezimungu. Na lau aliyechinja si muislam, wala haulazimiki kuuliza kama alitaja jina la Mwenyezimungu. Lililo muhimu ni kuwa alichinja na hakuchinja kwa lengo la kutolea kafara au vitu mfano wa hivyo.
 
Je ukimpiga risasi mnyama pori kama Mbogo akafa ndio ukachinja hii nayo ni kibudu ?.......maana kumpata akiwa hai ndio umkate shingo sio rahisi.
Sheria ya kiislam imeruhusu kiwindwa kuchinjwa baada ya kukimata. Unaweza kuwinda hata na mbwa, cha kuwinda hakihesabiki ni kibudu.
 
Kwenye migahawa nyama wanatoa buchani.. buchani nyama wanatoa machinjion.. na huko machinjion ni only Muslim anachinja .. mbona simple kaka
Hilo liko wazi kwa hapa Tanzania. Ninachojiuliza tu ni huwa wanafanyaje pindi wawapo kwenye nchi zisizo na huo utaratibu?

Je, bidhaa imported zilizotokana na nyama kama soseji wanafanyaje?
 
Back
Top Bottom