Ni sababu gani inayokufanya usipokee simu?

Ni sababu gani inayokufanya usipokee simu?

Mimi simu zote napokea haijalishi ni saa ngapi hata Saa nane za usiku simu iki vibrate Tu, nisipopokea Jua Tu lazima ntakupigia muda sio mrefu, haijalishi namba ni ngeni au laah.
 
Wakuu,

Swali lipo juu ya meza hilo hapo.

Wewe kama wewe hapo ni kitu gani kinachokusababisha unaiona simu inaita ila hautaki kuipokea?

Mfano labda upo kwenye gari unapigiwa simu haupokei na hauikati wala nini.

Upo nyumbani leo Jumapili simu ipo kwenye chaji labda inaita muda mwingi ila wala hujisumbui kwenda kuipokea.

Hivi nini kinakusababisha usipokee simu? Madeni?
Zipo sababu nyingi zinaweza kufika mia ama zaidi,chache kwa ufupi,hutaki usumbufu,hutaki kizinga,unadaiwa na mdai zaidi ya mmoja na hali hairuhusu kulipa kwa wakati huo,Ni muda wa faragha,mkutano ama maongezi muhimu,unalojukumu ambalo huwezi kupokea simu kwa wakati na mengine mengi!
 
Acha simu ifanye kazi yake.
Kazi ya simu ni kuita au kutoa mlio!
 
Zipo sababu nyingi zinaweza kufika mia ama zaidi,chache kwa ufupi,hutaki usumbufu,hutaki kizinga,unadaiwa na mdai zaidi ya mmoja na hali hairuhusu kulipa kwa wakati huo,Ni muda wa faragha,mkutano ama maongezi muhimu,unalojukumu ambalo huwezi kupokea simu kwa wakati na mengine mengi!
Nakazia hoja: Upo barabarani unaendesha chombo cha moto tena ni sehemu hatari halafu lisimu linaita.
 
Mimi sipendi kupigapiga simu na pia sipendi kupigiwapigiwa simu.. Ndugu na jamaa wamelalamika mpaka wamechoka wenyewe...

Na nikiona mtu ananipigia ananiletea project ambazo zinanikera hapo nazima na simu kabisa. Kiukweli sipendi usumbufu, napenda sana amani ya moyo wangu.
 
Sipendi watu wasiopokea simu, kama hutaki kuongea na simu zima, au tuma sms ya excuse. ndio uungwana, huwezi kujua unaopigiwa kwa issue gani. Next time utakosa fursa, changamoto hazikimbiwi, kuikimbia changamoto nikujiweka dhaifu, kabili changamoto uimarike
Ila kuna changamoto na mazingira ya changa moto,ukiona upo huru bado ni changamoto unazozimudu vyema.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom