Iyo ndio option bora zaidi hata nikipokea sitaelewekaPokea simu kesho pia ni siku
Pokea simu kesho pia ni siku
poleni sana aise,Wabongo wengi tuna matatizo ya akili

Huwa naona uvivu tu kuongea na simu.Wakuu,
Swali lipo juu ya meza hilo hapo.
Wewe kama wewe hapo ni kitu gani kinachokusababisha unaiona simu inaita ila hautaki kuipokea?
Mfano labda upo kwenye gari unapigiwa simu haupokei na hauikati wala nini.
Upo nyumbani leo Jumapili simu ipo kwenye chaji labda inaita muda mwingi ila wala hujisumbui kwenda kuipokea.
Hivi nini kinakusababisha usipokee simu? Madeni?
Una majini wabayamood tu mkuu, kuna kipindi sio tu kuongea yani unakuta hutaki hata sikia sauti ya mtu wala kuona mtu
Wewe ni kama mimi kabisa sipendi kupigiwa simu na ukiona sijapokea mara ya kwanza usijisumbue kuendelea wewe tuma sms nitakujibu kwa haraka zaidisipendi kuongea na simu😀😀 labda na ba mpenzi
Aiseee, kuna siku zingine huwa sitaki kuona hata mwanga wowote ule. Sasa ndio sijui kama majini au mambo ganiUna majini wabaya
Unakuta raia una mwambia kuna shughuli natenda nkimaliza nakutafuta ila anokomaa tu" mwishowe unaacha mkuuUsumbufu kivipi tena mkuu?
Kwa hio nikikubeep utapiga wewe au?Mi usumbufu sipendi ni beep au andika ujumbe nikipata muda nitakujibu
Hahaha hutaki kuona mwanga kwa hio unajifungia gizani?Aiseee, kuna siku zingine huwa sitaki kuona hata mwanga wowote ule. Sasa ndio sijui kama majini au mambo gani
Ndio mkuu, mapazia mazito hayaingizi mwanga wowote ndani .. Ikiwa hivyo ndio huwa najisikia amani ya ndaniHahaha hutaki kuona mwanga kwa hio unajifungia gizani?
Kwa hio anapopiga si unamwambia tena bado hujamaliza kwa hio kutokupokea inakua imesolve kila kitu au hauhisi yeye ataona km umemdharauUnakuta raia una mwambia kuna shughuli natenda nkimaliza nakutafuta ila anokomaa tu" mwishowe unaacha mkuu
Acha kulaumu kama una shida ya haraka tuma sms wengine hatupendi kuongea na simu masikio huwa yanauma sana inafikia hatua napata matatizo ya kichwa kuumaSipendi watu wasiopokea simu, kama hutaki kuongea na simu zima, au tuma sms ya excuse. ndio uungwana, huwezi kujua unaopigiwa kwa issue gani. Next time utakosa fursa, changamoto hazikimbiwi, kuikimbia changamoto nikujiweka dhaifu, kabili changamoto uimarike
Yaan umemaanisha nini hapo mkuu ndio utapigiwa simu au simu zitakua haziiti?Kosa pesa,kosa cheo,kosa muonekano,kosa lile wanalo zani kwao.
Ndio utajua filter sio camera