Signoradellap
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 29,493
- 149,749
Na hao wasiopokea,wakikupiagia wao usipokeewakiwa na shida zao wananuna.
Ukimaliza utamtafuta tu mkuu"Kwa hio anapopiga si unamwambia tena bado hujamaliza kwa hio kutokupokea inakua imesolve kila kitu au hauhisi yeye ataona km umemdharau
Hahaha hapo kwenye sms hapo wengine wanakwambia vidole vinauma kwa hio hawezi kujibu mesejiAcha kulaumu kama una shida ya haraka tuma sms wengine hatupendi kuongea na simu masikio huwa yanauma sana inafikia hatua napata matatizo ya kichwa kuuma
Hahaha wanapiga simu saa 8 za usiku utagoma kupokea kweli simu inasumbua usingizi au utazima simu kabisa?Na hao wasiopokea,wakikupiagia wao usipokeewakiwa na shida zao wananuna.
Mimi sijawahi kuwaelewa kabisa mkuu hua naajiuliza maswali mengi pia unakuta mtu unamuona na simu mkononi inaita tu hapokei wala nini mpaka unajiliza kwanini anafanya hiviSipendi watu wasiopokea simu, kama hutaki kuongea na simu zima, au tuma sms ya excuse. ndio uungwana, huwezi kujua unaopigiwa kwa issue gani. Next time utakosa fursa, changamoto hazikimbiwi, kuikimbia changamoto nikujiweka dhaifu, kabili changamoto uimarike
Hahaha kwa hio si unamwambia tu aje umtafutie kazi binamuUnamwambia hata mimi bado sina anajibu kwani unaishi huko mjini Binamu mi nakuja bwana unitaftie kazi
Huwa tunapiga mara moja na sms moja.Na hao wasiopokea,wakikupiagia wao usipokeewakiwa na shida zao wananuna.
Napokea,mie napokea,maana huwezi jua inahusu Nini.Hahaha wanapiga simu saa 8 za usiku utagoma kupokea kweli simu inasumbua usingizi au utazima simu kabisa?
Angalia documentary ya kigwangara,angalia maisha ya watu wanavyokueleza .Penda haya matatizo yaje kabla kabla ya kuona ukisha kosa .Yaan umemaanisha nini hapo mkuu ndio utapigiwa simu au simu zitakua haziiti?
Kila mtu apite kushoto sio shida zangu mkuuHahaha hapo kwenye sms hapo wengine wanakwambia vidole vinauma kwa hio hawezi kujibu meseji
😂😂😂,hamtaki usumbufu,Huwa tunapiga mara moja na sms moja.
Kuna jamaa yangu yeye alikopa watu watano siku 1 na akawaahidi atawalipa wote siku 1 basi wakampa hela za kutosha sana kaenda kununua gari kuna nyumba yake nyingine alikua hajapaua akaenda kupaua na kuna kamradi akaanzisha baada ya kununua ardhi pesa za mkopo, siku ya siku ya kulipa ikafika jamaa anapigiwa simu hapokei pigiwa simu sana hapokei simu sio kwamba anazima simu ipo hewani ila kupokea hapokei na wakimcheck online yupo ila simu hapokei, madeni mtihani sanaUmemalizia na madeni😂
Hao wa hivyo mara nyingi utasikia nambie, sasa nikuambie nini na kunipigia kote huko, kwa kweli napenda utulivu wangu sitaki stress😂😂😂,hamtaki usumbufu,
Sio mtu anapiga simu kama una figo yake.
Kumbe nawe Huwa hupokei,Sasa Haina haja ya kutuma sms kali Kwa asiyekupokelea simu.Mimi mtu asipopokea simu yangu ataipata freshi, nitamtumia meseji kali sana mpaka ashike adabu. Kuhusu kupokea simu, huwa sipokei simu zisizo za dili ninazopigiwa mara kwa mara kwa stori tu
Kwa hio shida yako si unapokea unamwambia tu kichwa kinauma tuma sms ataelewa kuliko kutokupokea kabisaKila mtu apite kushoto sio shida zangu mkuu
Mimi pia huwa nafuatilia sms zaidi kuliko kupigiwa simu.Wakuu,
Swali lipo juu ya meza hilo hapo.
Wewe kama wewe hapo ni kitu gani kinachokusababisha unaiona simu inaita ila hautaki kuipokea?
Mfano labda upo kwenye gari unapigiwa simu haupokei na hauikati wala nini.
Upo nyumbani leo Jumapili simu ipo kwenye chaji labda inaita muda mwingi ila wala hujisumbui kwenda kuipokea.
Hivi nini kinakusababisha usipokee simu? Madeni?
Hiyo ni tamaa😂,unakopaje na hauna uhakika wa kulipa😂,Kuna jamaa yangu yeye alikopa watu watano siku 1 na akawaahidi atawalipa wote siku 1 basi wakampa hela za kutosha sana kaenda kununua gari kuna nyumba yake nyingine alikua hajapaua akaenda kupaua na kuna kamradi akaanzisha baada ya kununua ardhi pesa za mkopo, siku ya siku ya kulipa ikafika jamaa anapigiwa simu hapokei pigiwa simu sana hapokei simu sio kwamba anazima simu ipo hewani ila kupokea hapokei na wakimcheck online yupo ila simu hapokei, madeni mtihani sana
kabisa tuma msg itajibiwa tuWewe ni kama mimi kabisa sipendi kupigiwa simu na ukiona sijapokea mara ya kwanza usijisumbue kuendelea wewe tuma sms nitakujibu kwa haraka zaidi
Unaona kabisa hayupo serious ,unapiga simu kama mtu hajapokea unaacha ujumbe.Unakuta missed call 100 bila ujumbe wowote huwa sisumbuki nazo