Ni sababu gani inayokufanya usipokee simu?

Ni sababu gani inayokufanya usipokee simu?

Hao wa hivyo mara nyingi utasikia nambie, sasa nikuambie nini na kunipigia kote huko, kwa kweli napenda utulivu wangu sitaki stress
😀😀😀😀hao wa hivyo hata kwenye msg ye ndo anakutafuta alafu anaaanza niambie 😀😀unabaki hee sasa ningekua na cha kukuambia si ningekutafuta jamani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom