Mkuu na mimi nimeisoma leo nafikiri hizi fedha nilizoweka ndo za mwisho. Naamia Airtel jumla.
wamebadili vifurushi ambavyo ulikuwa ukijiunga unapiga mitandao yote, lakini sasa ukinunua vifurushi hivyo unapiga voda-voda tu, huku kwenda mtandao mwingine unakatwa hela nyingi kama zamani zile! Hii ni msiba kwetu sisi walala hoi. Na kwakweli sasa inanilazimu kuuhama huu mtandao!
Wamebadili vifurushi ambavyo ulikuwa ukijiunga unapiga mitandao yote, lakini sasa ukinunua vifurushi hivyo unapiga voda-voda tu, huku kwenda mtandao mwingine unakatwa hela nyingi kama zamani zile! Hii ni msiba kwetu sisi walala hoi. Na kwakweli sasa inanilazimu kuuhama huu mtandao!
Mwenyewe nimebaki na mshangao.
Hii ndio Kaburu Matata Iya...
Mwenyewe nimebaki na mshangao.
Hii ndio Kaburu Matata Iya...
Nyie acheni izo.. me nipo tigo nina mpango wa kuhamia voda ila ni kwa ajili ya modem tu..