- Thread starter
- #61
Ni Rais wa kwanza kuileta tamu ya Brazil Tanzania. mpooo?
Umeisahau Real Madrid
Ni Rais wa kwanza kuileta tamu ya Brazil Tanzania. mpooo?
Ni rais anaehubiri akili za kuambiwa changanya na zako ili hali mwenyewe chochote anachoambiwa na watendaji wake ana-paste kama kilivyo
Hii ni kweli kabisani raisi anayeitwa Doctor wakati aliyefanya mambo makubwa nchi hii anaitwa mwalimu!
Aisee JF kiboko. Hivi ingekuwa mnamwambia laivu, mngeweza kumwambia haya yote mliosema humu?
Ni Rais wa kwanza kuileta tamu ya Brazil Tanzania. mpooo?
Ni Jakaya Mrisho Kikwete.