Ni Rais.........

Ni Rais.........

Ni rais anayesema watoto wanaopata mimba ni kwa sababu ya kihelehele chao
 
rais ambaye anaongoza kwa kulea rushwa ktk chama chake
 
Ni rais anaehubiri akili za kuambiwa changanya na zako ili hali mwenyewe chochote anachoambiwa na watendaji wake ana-paste kama kilivyo
 
Ni Rais pekee ambae hata baada ya kujua chama chake wanachaguana kwa rushwa, hajachukua hatua zozote za kinidhamu!!
 
Ni Rais anaeshindana na waziri wa mambo ya nje kusafiri nje ya nchi
 
Ni Rais wa kwanza kuileta tamu ya Brazil Tanzania. mpooo?
 
Back
Top Bottom