Ni Rais.........

Ni Rais.........

Ni rais anaetufundisha kuwa kila mtu anaweza kuwa rais as long as anajua kusoma na kuandika tu
 
1)...Ni raisi mweupe wa ngozi hadi ubongo..
2)...Ni rais aliechagua siasa badala ya jeshi
3)...Ni rais asiejua kwanini nchi yake ni
maskini.
4)...Ni rais alieingia madarakani licha ya
kukimbia mdahalo.
 
Ni rais asiyejua hili wala lile kwenye uongozi
 
...ni raisi anaendesha nchi "automatic"...sio "manual"
 
ni rais a k a matonya wa kimataifa yaani omba omba wa kimataifa
 
Ni raisi anaeangukanguka hovyo.
Ni raisi asiyejua kua yeye ni raisi.
 
Ni Raisi alimuondoa Wizara/Waziri wa Mipango na kumuweka Waziri asiye na kazi maalumu
 
Ni rais ambaye akienda nje anapewa zawadi ya jezi
 
mtake msitake...ni raisi wenu, tena kapita kwa terms zote mbili
 
mtake msitake...ni raisi wenu, tena kapita kwa terms zote mbili

Unaonaje ukii-edit hiyo post yako, isomeke;

Ni rais wenu,
Ni rais aliepita kwa terms zote mbili.

I op haitabadili dhumuni lako, kwani mtu akisema "Kunguru kala nyama" na mwengine akasema "nyama kala kunguru" wote wamesema kile kile tu
 
Ni raisi ambaye hajajuana sokoni na fisadi mkubwa wa uchumi wetu
 
Ni rais anayegawa rasilimali za nchi kwa kuhongwa suti 5
 
Aisee JF kiboko. Hivi ingekuwa mnamwambia laivu, mngeweza kumwambia haya yote mliosema humu?
 
ni Rais anayewachukia watumishi wa uma, na kuwakumbatia mafisadi
 
Back
Top Bottom