hetu
Senior Member
- Jun 21, 2010
- 109
- 28
mtake msitake...ni raisi wenu, tena kapita kwa terms zote mbili
Ni raisi aliye iba kurapaka siku ya kutangazwa matokeo alibaki amediwaa.
mtake msitake...ni raisi wenu, tena kapita kwa terms zote mbili
weeeeee thubutu> yaaah mngeanza oooh we ni handsome sana ihali kshazeeka mara oooh wee unapendeza xana mara ooh unasimamia rasilimali za nchi vizuri mara ooh wee nirais bora africa. yaaan mngemwagia sifa ambazo hata fidel castro wa cuba hana. m nawaangalia 2 mnavyohuzunikaTungeweza.
Hajamfikia baba wenu wa taifa.Jf hadi raha,ni rais mdini kuliko wote waliomtangulia
Ni rais Kilaza!