Ni rahisi kwenda kuliko kurudi

Ni rahisi kwenda kuliko kurudi

Waulize watalaka na watalikiwa watakuambia. Kwenda kwenye ndoa ni rahisi kuliko kurudi kwenye ndoa baada ya kuondoka kwenye ndoa.

Kijana wangu alipewa suspension shuleni nikaambiwa nikamchukue nirudi naye nyumbani. Kwenda kumchukua ilikuwa rahisi. Kumrudisha imekuwa ngumu sana.

Mambo yalipoharibika Sodoma Lutu aliondoka na familia yake lakini mkewe akataka kurudi hivyo akageuka nyuma na kugeuka kuwa jiwe la chumvi.

Kipigo kwenye ulingo wa ndondi kikikupeleka chini na ukachelewa kusimama hutaweza tena kurejea ulingoni uendelee na mapigano. Hata mpiganishi akikuhesabia mpaka kumi.

Kuna kitu kwenye saikolojia kinaitwa confidence. Wana usalama wanalifundishwa sana. Kumwangalia mtu usoni machoni bila kupepesa, akiangusha tu macho chini hawezi kurudi kukuangalia tena!

Mashindano hayakimbiwi. Ukiyakimbia tambua umekubali kutema bungo

Mtunzi mahiri JAMES HADLEY CHASE ana riwaya yake moja inaitwa THE GUILTY ARE AFRAID! yaani wenye hatia wana hofu na hukimbia hata wasipokimbizwa.

Hatia humfanya mtu akimbie hata kivuli chake mwenyewe!

Ni sawa tu na, kunguru mwoga ambaye hukimbiza bawa lake. Maana hajiamini amejawa hofu na kujihisi mwenye hatia

Kwenda ni rahisi kuliko kurudi!!!
Mi nazipenda hizi riwaya za James Hadley Chase na za yule wa animal farm zilizomo humu JF. Ile ya nineteen eighty four nayo umeisoma?
 
The seemingly overly confident, are often the biggest of cowards, all it takes is one confrontation to reveal their true nature, cowardice.

The one confrontation has happened, let's sit and wait for the crumble of the 'mighty' ones.

In a matter of days, the so called 'King maker' will be revealed to be nothing but a mere clown in a disguise of a warrior. In the revelation process, the whole circus is going down with him.
In a matter of days, the so called 'King maker' will be revealed to be nothing but a mere clown in a disguise of a warrior. In the revelation process, the whole circus is going down with him.💥✌🏿🔨📌🔨❗
 
Mi nazipenda hizi riwaya za James Hadley Chase na za yule wa animal farm zilizomo humu JF. Ile ya nineteen eighty four nayo umeisoma?
Kati ya novel zake 84 nimesoma 76.. Nikivutiwa zaidi za alizochapa PANTHER.. Yeye huchagua zile kali
 
Trump alipigwa KWENYE uchaguzi akakubali hakufanya fujo akugoma, akaenda kujipanga upya na akarudi na akshinda kwa kishindo. Nilicho jifunza ukiona ugumu usilazimishe nenda kajipange rejea TENA KWENYE MAPAMBANO ukiona pumzi imekata sepa utaumia ukilazimisha, we nenda kajipange RUDI upya MPAKA KIFO kikuzuie rasmi. Bahati haiji mara mbili no ushapitwa na wakati huo msemo dunia IKO spidi mambo yanabadilika zamani stendi ILIKUA ubungo SIKU HIZI HAIPO TENA IKO mbezi.

Bro Alex on da beats
Duuh Trump is something else bro
 
70dba11b-1ab2-4612-b068-415cad606a19.jpeg
 
Waulize watalaka na watalikiwa watakuambia. Kwenda kwenye ndoa ni rahisi kuliko kurudi kwenye ndoa baada ya kuondoka kwenye ndoa.

Kijana wangu alipewa suspension shuleni nikaambiwa nikamchukue nirudi naye nyumbani. Kwenda kumchukua ilikuwa rahisi. Kumrudisha imekuwa ngumu sana.

Mambo yalipoharibika Sodoma Lutu aliondoka na familia yake lakini mkewe akataka kurudi hivyo akageuka nyuma na kugeuka kuwa jiwe la chumvi.

Kipigo kwenye ulingo wa ndondi kikikupeleka chini na ukachelewa kusimama hutaweza tena kurejea ulingoni uendelee na mapigano. Hata mpiganishi akikuhesabia mpaka kumi.

Kuna kitu kwenye saikolojia kinaitwa confidence. Wana usalama wanalifundishwa sana. Kumwangalia mtu usoni machoni bila kupepesa, akiangusha tu macho chini hawezi kurudi kukuangalia tena!

Mashindano hayakimbiwi. Ukiyakimbia tambua umekubali kutema bungo

Mtunzi mahiri JAMES HADLEY CHASE ana riwaya yake moja inaitwa THE GUILTY ARE AFRAID! yaani wenye hatia wana hofu na hukimbia hata wasipokimbizwa.

Hatia humfanya mtu akimbie hata kivuli chake mwenyewe!

Ni sawa tu na, kunguru mwoga ambaye hukimbiza bawa lake. Maana hajiamini amejawa hofu na kujihisi mwenye hatia

Kwenda ni rahisi

Mashindano hayakimbiwi. Ukiyakimbia tambua umekubali kutema bungo

Chadema hao wametema bungo!
 
No Reform No Election.CCM ilitaka hivyo tangu 2019 hadi sasa na wataendelea hivyo hivyo hata CHADEMA ikishiriki uchaguzi kuwachukulia Wanawake kama wabunge wa viti maalum kutoka CHADEMA ili wapate misaada kutoka kwa mabwanyenye wao Ulaya na Marekani wanaoamini katika mfumo jike.
 
Waulize watalaka na watalikiwa watakuambia. Kwenda kwenye ndoa ni rahisi kuliko kurudi kwenye ndoa baada ya kuondoka kwenye ndoa.

Kijana wangu alipewa suspension shuleni nikaambiwa nikamchukue nirudi naye nyumbani. Kwenda kumchukua ilikuwa rahisi. Kumrudisha imekuwa ngumu sana.

Mambo yalipoharibika Sodoma Lutu aliondoka na familia yake lakini mkewe akataka kurudi hivyo akageuka nyuma na kugeuka kuwa jiwe la chumvi.

Kipigo kwenye ulingo wa ndondi kikikupeleka chini na ukachelewa kusimama hutaweza tena kurejea ulingoni uendelee na mapigano. Hata mpiganishi akikuhesabia mpaka kumi.

Kuna kitu kwenye saikolojia kinaitwa confidence. Wana usalama wanalifundishwa sana. Kumwangalia mtu usoni machoni bila kupepesa, akiangusha tu macho chini hawezi kurudi kukuangalia tena!

Mashindano hayakimbiwi. Ukiyakimbia tambua umekubali kutema bungo

Mtunzi mahiri JAMES HADLEY CHASE ana riwaya yake moja inaitwa THE GUILTY ARE AFRAID! yaani wenye hatia wana hofu na hukimbia hata wasipokimbizwa.

Hatia humfanya mtu akimbie hata kivuli chake mwenyewe!

Ni sawa tu na, kunguru mwoga ambaye hukimbiza bawa lake. Maana hajiamini amejawa hofu na kujihisi mwenye hatia

Kwenda ni rahisi kuliko kurudi!!!
JF ianze kuwalipa content writters, kama hawa.
 
Suspension bado zipo zama hizi au mwanao ni mtukutu aliyetukuka like father 😂
 
Back
Top Bottom