TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,504
- 28,437
Vumbi likitulia kuta'rudika' bila shida. Kila kitu kipo....kuliko kurudi..!!!
Vumbi likitulia kuta'rudika' bila shida. Kila kitu kipo....kuliko kurudi..!!!
Hapo sasaYale mabango yenye picha nchi nzima tutayafanyia nini?
Mwezi wa baridi huu. Watafutwe wapagazi watubebee tuyakoke moto kupika miili yetu.Yale mabango yenye picha nchi nzima tutayafanyia nini?
Unataka kusemaje hapa mkuu!?Waulize watalaka na watalikiwa watakuambia... Kwenda kwenye ndoa ni rahisi kuliko kurudi kwenye ndoa baada ya kuondoka kwenye ndoa.
Kijana wangu alipewa suspension shuleni nikaambiwa nikamchukue nirudi naye nyumbani.. Kwenda kumchukua ilikuwa rahisi.. Kumrudisha imekuwa ngumu sana.
Mambo yalipoharibika Sodoma Lutu aliondoka na familia yake lakini mkewe akataka kurudi hivyo akageuka nyuma na kugeuka kuwa jiwe la chumvi.
Kipigo kwenye ulingo wa ndondi kikikupeleka chini na ukachelewa kusimama hutaweza tena kurejea ulingoni uendelee na mapigano.. Hata mpiganishi akikuhesabia mpaka kumi.
Kuna kitu kwenye saikolojia kinaitwa confidence.. Wana usalama wanalifundishwa sana.. Kumwangalia mtu usoni machoni bila kupepesa, akiangusha tu macho chini hawezi kurudi kukuangalia tena..!
Mashindano hayakimbiwi.. Ukiyakimbia tambua umekubali kutema bungo
Mtunzi mahiri JAMES HADLEY CHASE ana riwaya yake moja inaitwa THE GUILTY ARE AFRAID! yaani wenye hatia wana hofu na hukimbia hata wasipokimbizwa.
Hatia humfanya mtu akimbie hata kivuli chake mwenyewe!
Ni sawa tu na,kunguru mwoga ambaye hukimbiza bawa lake.. Maana hajiamini amejawa hofu na kujihisi mwenye hatia
Kwenda ni rahisi kuliko kurudi..!!!
bado tatizo, kama makubwa kuliko mwili wake, then it is most likeky kuwa energy generated na mwili haiwezi kutosha kuyafanya mabawa yafanye kazi ya kuuinua mwiliKama ni makubwa kuliko mwili sawa
Watajitutumua kukuonesha bado wana nguvu tele.Those clowns!The seemingly overly confident, are often the biggest of cowards, all it takes is one confrontation to reveal their true nature, cowardice.
The one confrontation has happened, let's sit and wait for the crumble of the 'mighty' ones.
In a matter of days, the so called 'King maker' will be revealed to be nothing but a mere clown in a disguise of a warrior. In the revelation process, the whole circus is going down with him.
Ushawahi ona mbabe anaeaminika kuwa ana uwezo wa kumpiga yeyote yule kupelekea kuogopewa, halafu anakuja mtu mmoja wa kawaida tu anamdindishia kupelekea mbabe kugwaya? Hii inafanya hata wale wengine waliokuwa wakiogopa kuondokwa na uoga.Watajitutumua kukuonesha bado wana nguvu tele.Those clowns!
Kipindi hiki nyuzi nyingi ni kwa code tu humu,kuna nini
Ni evolution ya JF katika ukuaji na umahiri wa masomo ya juu kutoka Cuba ukijumlisha ukomavu katika utunzi wa sudi zao.Kipindi hiki nyuzi nyingi ni kwa code tu humu,kuna nini
Tutawashia motoYale mabango yenye picha nchi nzima tutayafanyia nini?
Huwa sijutii kusoma post zako kiongozWaulize watalaka na watalikiwa watakuambia. Kwenda kwenye ndoa ni rahisi kuliko kurudi kwenye ndoa baada ya kuondoka kwenye ndoa.
Kijana wangu alipewa suspension shuleni nikaambiwa nikamchukue nirudi naye nyumbani. Kwenda kumchukua ilikuwa rahisi. Kumrudisha imekuwa ngumu sana.
Mambo yalipoharibika Sodoma Lutu aliondoka na familia yake lakini mkewe akataka kurudi hivyo akageuka nyuma na kugeuka kuwa jiwe la chumvi.
Kipigo kwenye ulingo wa ndondi kikikupeleka chini na ukachelewa kusimama hutaweza tena kurejea ulingoni uendelee na mapigano. Hata mpiganishi akikuhesabia mpaka kumi.
Kuna kitu kwenye saikolojia kinaitwa confidence. Wana usalama wanalifundishwa sana. Kumwangalia mtu usoni machoni bila kupepesa, akiangusha tu macho chini hawezi kurudi kukuangalia tena!
Mashindano hayakimbiwi. Ukiyakimbia tambua umekubali kutema bungo
Mtunzi mahiri JAMES HADLEY CHASE ana riwaya yake moja inaitwa THE GUILTY ARE AFRAID! yaani wenye hatia wana hofu na hukimbia hata wasipokimbizwa.
Hatia humfanya mtu akimbie hata kivuli chake mwenyewe!
Ni sawa tu na, kunguru mwoga ambaye hukimbiza bawa lake. Maana hajiamini amejawa hofu na kujihisi mwenye hatia
Kwenda ni rahisi kuliko kurudi!!!
Yale ni ya kutengenezea nishati ya mkaa isiyo na moshiYale mabango yenye picha nchi nzima tutayafanyia nini?
Hujakutana na Mimi, uta kodoa mpaka macho yatokeHilo somo la wanausalama la kumuangalia mtu usoni ningefaulu kuliko masomo yote!!
Tutauza chuma chakavu, hela tupeleke kwenye vituo vya watoto yatimia.Yale mabango yenye picha nchi nzima tutayafanyia nini?
Lakini nisingekwepesha!Hujakutana na Mimi, uta kodoa mpaka macho yatoke
🤣🤣🤣 Chenga kweli Wewe sasa Si kunakuwa na muktadha maalum!!Hapa uta toboa?
View attachment 3413099