Hivi kweli lugha inakupa taabu kubwa hivi?
Kwani hii umeipata wapi,
ngoja niiitafute;
Mwanaume mwenyewe;
ana moyo wa kupenda kila sketi
pole zako.
jamani kwa hiyo umeachana na mm?
unanipa pole ndugu yangu wakati mwenzio :tape:
si unajua tena wanaume wa siku hizi laizima wawe na wengi
hivyo mwenzio nshazoea huwaga na list ya utitiri wa majike
hivyo sioni taabu naye
mamii.. (jamani nashindwa kutoa maelezo hapa!!.. please forgive me! i am married already..) but naweza kuwa na wawili!!
hilo halipingiki kabisa!!... tell me, natangaza ndoa ya pili sasa hivi..
Wanasema kizuri kula na mwenzio (wenzio).
usijali mamii, but naweza kukupa tulizo la moyo! excel yupo kwa ajili yako!ohoo my dia mwenzio sipendi kuwa second wife ujue;
ninasikitika kivyangu kivyangu hongera kumbe yr married
ila thanks za kuleeee RP nimeona be blessed
kwani vibaya mamii? si uwezo ninao wa kuwahendo wote?Heee,
mitala???