Ni nini kimemkimbiza JF

Ni nini kimemkimbiza JF

hahahahahahaaaaaaaaa jamani wewe yaelekea unanifahamu sana tena sana
nalisubiria hilo tulizo la moyo kama sidanganywi hapa

usijali mamii, but naweza kukupa tulizo la moyo! excel yupo kwa ajili yako!

tumetoka mbali ujue lf! enzi zile unazingusha zungusha kudadeki!! nimekumiss sana yani!
 
hahahahahahaaaaaaaaa jamani wewe yaelekea unanifahamu sana tena sana
nalisubiria hilo tulizo la moyo kama sidanganywi hapa
yani mamii unataka kusema umenisahau? kweli kabisa?

hivi umesahau tulivyokuwa tukicheza kuch kuch hotahe sebuleni kwenu jamani!!

hebu kubali kwanza uwe mke wangu wa pili, itakuwa furaha yangu!! yani ntakufanyia mambo ambayo hutoamini!!
 
Naomba niweke niwe first wife halafu huyo ambaye ni first awe second kisha ndo nikukubalie waonaje hilo?
yani mamii unataka kusema umenisahau? Kweli kabisa?

Hivi umesahau tulivyokuwa tukicheza kuch kuch hotahe sebuleni kwenu jamani!!

Hebu kubali kwanza uwe mke wangu wa pili, itakuwa furaha yangu!! Yani ntakufanyia mambo ambayo hutoamini!!
 
kama itashindikana kwenye sauti basi mwambie kuwa napiga drum mie ni mtalaamu tena fundi wa kulipwa hivi unajua nilikuwa ughaibuni nikitumbuiza na wanne?
Ngoja akipita huku atasema kama bado anazo nafasi;
manake kundi lile limemtaiti kweli kweli.
 
Back
Top Bottom