Iv dady jaman uyo mwanamke uliempata safar hii mbona komesha?Mwambie aache kubana ivo khaa!!
Eee sijitaki au sijipendi??
Ticha kweli naye haonekani.
Eee sijitaki au sijipendi??
Eeee nshakua baby tayari jamaniiiiii😱😱😱
Daslam kila mrembo ni baby unaishi Chalinze nini?:A S 13:
Sisis walimu tuko Busy kuwafundisha wajumbe wa Bunge maruhani la katiba, soon tutarudi hapa.
Mwambie katika hilo tamasha aniweke na mm kwani naimba sauti ya saprano
Ngoja aje nasikia anafundishia majumbani siku hizi