kiaje tena mtoto mrembo wewe? mbona wanipeleka puta mie?Kama wewe.
Haahahaha nakutolea copy nakupa mummy
..................How is it?
that those guys were unaware that you were in love with them
yet it was close to cheat physically?
haha umeona eeeh wakikumiss tu nawaambia
Teh teh teh....ila sio unawaambia kila kitu kama yule jamaa alietuma picha mpya leo
hHHahahaha nimemuona ila mie siachi kitu hata ukipiga miayo ya njaa nasema
Duh..... Lazima una undugu na yule mimi ni joooohn maraaaaatuuuuu wa iiiiiiiiii tttttttt vvvvvvv
hHahahahahaha sio ndugu yangu afu niko gamboshi hakuna luninga
Wapi huko hakuna luninga?
tuunde tume
gamboshi baba
Kutoka hapa nilipo ni upande gani? Kushoto, kulia?
hahahaha sa mi najuaje uko wapi kama ni toilet je
Hahahahahaha toilet? Mda huu siendi, nitafute kuamka tumbo empty????
hahahahaha kumbe uko wapi sasa