Ni Nini Hasa Mwanamke Anahitaji?

Ni Nini Hasa Mwanamke Anahitaji?

Daaaaah!!! nimfanyie vyote hivyo but still anakuwa hashikiki ntarudia tena kumridhisha kunako bed ikishindikana basi tena inabidi ninawe mikono..ILA EEEEH MWENYEZI MUNGU NAOMBA UNIEPUSHIE MWANAMKE WA NAMNA HII...AMEN
 
Daaaaah!!! nimfanyie vyote hivyo but still anakuwa hashikiki ntarudia tena kumridhisha kunako bed ikishindikana basi tena inabidi ninawe mikono..ILA EEEEH MWENYEZI MUNGU NAOMBA UNIEPUSHIE MWANAMKE WA NAMNA HII...AMEN

Umeona eeeh . . . .
 
Mkuu, issue ya wanawake itakuumiza kichwa ukifikiria sana. Hakuna formula rasmi inayo govern juu ya wanawake.
Kama jinsi sisi wanaume tulivyo na mapungufu ndivyo na wanawake walivyo. Naamini asilimia kubwa ya matatizo ya wanawake yana changiwa na wanaume. Asante kwa thread yako nzuri.
 
Mi bwana nikipenda nimependa ila namshukuru Mungu pia kwa kuniwezesha kufanya maamuzi magumu
 
poleni sana huwa hatuna mambo magumu sana ila tuu nyie ni wagumu kutuelewa
 
Unajua wote ni wanawake lakini we really differ.Sasa huyo mwanamke aliefanyiwa yote hayo na bado hakuridhika,kwa kweli angeulizwa nini kilimfanya asiridhike.
 
Mkuu, issue ya wanawake itakuumiza kichwa ukifikiria sana. Hakuna formula rasmi inayo govern juu ya wanawake.
Kama jinsi sisi wanaume tulivyo na mapungufu ndivyo na wanawake walivyo. Naamini asilimia kubwa ya matatizo ya wanawake yana changiwa na wanaume. Asante kwa thread yako nzuri.

Mmmmmmmmmmmmmmmhhhhh!!! am not sure abt that...
 
poleni sana huwa hatuna mambo magumu sana ila tuu nyie ni wagumu kutuelewa

Tatizo lenu some tym mnakuwa vichwa ngumu kumshirikisha mwenza unapopatwa na tatizo toka mwanzoni na likikufika shingoni ndio unajidai kuona umuhimu wangu ila ukiishiwa hela fasta kunieleza...
 
pole sana superman, tatizo liko kwako unatakiwa upate kikombe upate kupona

kumfukuza mwanamke, si suluhisho, kwani kama hautafanya utafiti na kugundua tatizo yaaani utawafukuza mwisho utajifukuza nawe pia

mwanamke mpe vyooote, kuanzia gari mpaka utajiri wako wote lakini vyote ni bure, jamaa watakukanyagia mpaka pasi

hili ni tatizo kwa wanaume wengi, kwani wengi wetu hatuna elimu ya kufanya mapenzi, tulivyokuwa form two tulikuwa tukidanganyana kuwa wanawake wanapenda shaft kubwa, tukaangaika kuchacha madodoki na mihogo ili tuwe na shaft kubwa na kuwatosheleza marafiki zetu wa kike, mara oooohh, mara wengine mawazo yao ni kuwa ukiwa na shaft fupi huwezi kumtosheleza mwanamke unatakiwa uwe na shaft ndefu ukiipenyeza ikaribie nyumba ya uzazi ili apate raha anayohitaji. Tulutoka sekondari tukiwa kila mtu na lake.

Mwanamke anahitaji ufanisi wa tendo la ndoa, si shaft nene, fupi, au ndefu wala vitu vya kifahari.

Mwanamke anahitaji maandalizi, chukua mfano wa daktari anayejiandaa kumfanyia mgonjwa upasuaji, hakurupuki kuchukua mkasi na kuanza kufanya upasuaji, kwanza lazima amkague mgonjwa wake, ahakikishe dawa ya usingizi imekolea sawa sawa kisha ndio upasuaji utaendelea. Vivyo vivyo kwa mwanake.

Mwanamke anahitaji muda wa maandalizi kabla ya tendo, si una mchojoa nguo kisha unapaka mate na kuzama ndani, hapo utamuumiiza na mwisho wa siku lazima usaidiwe na wajuvi wa mambo. Kuna sehemu si za kukimbilia kupapasa, mfano ukishamuweka mamaa kitandani unakimbilia kutomasa kinembe, kwa taarifa yako hapa unampa maumivu, na kumfanya asifurahie tendo la ndoa, anza na nyayo, ukifika hapo kati ruka endelea na tumbo mpaka utosi, kisha rudi kati, baada ya hapo unaweza kuanza kuchimba madini.

Superman tuonane kwenye pm kwa ushauri zaidi, huyo mwanamama usimuache, dawa ipo kaka

mkuu nimeipenda hii.ni kweli falsafa ya kumtuliza mwanamke ni rahisi but complicated kama huijui.inawezekana vitu vingi anavyofanyiwa mwanamke huyu na jamaa yetu si chaguo lake kwa wakati mwafaka.cha msingi ni kufikiri kwanza kabla ya kufanya kitu chochote kile kwa ajili ya mamaa.mf:je hiki ninachotaka kumpa ni chaguo lake?je ni muda mwafaka kumpatia kitu hiki?
 
Every human being is unique, huwezi generalize nini mwanamke anataka. Utakachomfanyia au mpatia mwanamke mmoja, sio lazima mwanamke mwingine akiappreciate. Handle women individually.

 
Last edited by a moderator:
Hakuhitaji wewe (japo kwa sababu ya mali n.k.) anaweka asikubali ukweli huu....
Anahitaji mtu anayeendana na mtizamo wake....sio wewe...!

Mkuu kama hamutaki huyo mume kwanini awe na mahawala zaidi ya3 nnje ya ndowa msada mkuu
 
Oooops hii ni mitihani ya maisha ,hili zito nitakuja baadae na mchango wangu lakini kwa kifupi Kinguru hafugiki,Na je upande wa chumba cha mawasiliano 6 x 6 mme anajiweza ?
bado natafakari

hata kama 6*6 hajiwezi hiyo inahusiana nini na uzembe wa huyo mwanamke kazini na kufukuzwa kazi?
kuua kampuni? kupoteza mtaji na hta kuwa na wanaume wengi...ningemuelewa kama angekua na mwanaume nje na mambo mengine ya kazi afanye km kawaida..then ndo angesema mumewe 6*6 hajiwezi
 
Mpaka leo bado sina jibu:

japo sina uzoefu sana katika mahusiano lakini mpaka leo sina jibu ni nini hasa mwanamke anahitaji na unaweza ukafanya killa jambo ambalo ni jema lakini yeye bado akaonekana hajafurahi au unaweza fanya jambo lisilo na maana yeye akafurahia tena sana ni ngumu kuelewa kweli
 
Back
Top Bottom