Ni Nini Wanawake Wanahitaji Toka Kwa Wanaume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni Nini Wanawake Wanahitaji Toka Kwa Wanaume

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Superman, Feb 13, 2011.

 1. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #1
  Feb 13, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Katika mahusiano ya Mwanamke na Mwanaume ili yawe ya mafanikio makubwa ni nini hasa kinampasa Mwanaume afahamu na afanye?  Utafiti mdogo unaonyesha kuwa kuna vitu vya kimsingi ambavyo wanawake wanaangalia na kama hivyo vitakosekana basi mambo huenda yasiwe mazuri katika uhusiano wenu.
  1. Mwanamke anataka awe APPRECIATED: Najua wengi watashangaa kwa nini siyo LOVE kwanza. Ukweli ni kuwa Wanaume wengi wanaweza kumwambia mwanamke I LOVE YOU lakini hawam-APPRECIATE. Kuwa appreciated ni sehemu muhimu sana ya mahusiano ambayo mwanamke anahitaji.
  2. Mwanamke anahitaji "DEEP EMOTIONAL BOND WITH A MAN". Wanawake wanataka spouse wao waelewe feelings zao na wawe concerned nazo. Na pia wanapenda kujua Spouse wao wanaf hisia zipi na wanapenda kushare hizo feelings na emotions.
  3. Mwanamke anataka Mwanaume ambaye atafeel kuwa yuko "FEMININE and SEXY". Anataka kuwa na uhakika kuwa yeye ni mwanamke bora aliyekuvutia kuliko wengine na kwa nini. So u must make it clear to her very regular. Vinginevyo anakuwa na wasiwasi. So usisangae unaulizwa mara kwa mara "hivi kwa nini unanipenda" they want an assurance.
  4. Mwanamke anataka mwanaume ambaye ni ROMANTIC. Romance ni ubunifu wa kimapenzi. Hili halielezeki, ni namna ya kuwa katika MAPENZI na FURAHA katika mahusiano. Wanawake wanataka wafanyiwe mambo mengi madogo madogo ambayo yataendelea kuwahakikishia kuwa kweli wanapendwa na wanafurahiwa.
  5. Wanawake wanataka Mwanaume ambaye yuko CONFIDENT au anayejiamini.
  6. Wanawake Wanapenda kuwa na uhakika kuwa wenzi wao ni WAAMINIFU.
  7. Mwanamke anataka Mwanaume mwenye MIPANGO inayoeleweka katika maisha na awe AMBITIOUS. Mwanaume ambaye ni MBUNIFU.
  8. Mwanamke anataka mwanaume Mkarimu na Mtoaji na si mkono wa birika. LOL.
  9. Mwanamke anataka Mwanaume ambaye hatakuwa Mwenzi wake tub ali pia RAFIKI yake.
  10. Mwanamke anapenda Kupendwa hata kama amekuboa. Anataka wakati wote atosheke Mentally; Emotionally and spiritually.
  11. Mwanamke anataka Mwanaume ambaye atampatia SECURITY na PROTECTION. That he will be there when she needs him no matter what.
  Michango; maoni na criticism zinakaribishwa.
   
 2. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #2
  Feb 13, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Je, tukisema Ladies wanapenda wawe treated kama Baby Girls ni sahihi?
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Feb 13, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Womens want

  1.money
  2.attention
  3.good sex,with a big enough penis..
  4.a good laugh,so be charming....

  Trust me,the will always be with you,if you can do that
   
 4. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #4
  Feb 13, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mkuu hulali :twitch:
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Feb 13, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  missing you...
   
 6. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #6
  Feb 13, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160

  Na nyie mnapenda nini zaidi ili nyumba ndogo ziishe :coffee::coffee::coffee:
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Feb 13, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  me,just you...
  Enough for me
   
 8. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #8
  Feb 13, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160

  Mic u 2 The Boss vipi Valentine nije kukutembelea :twitch:
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Feb 13, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  karibu sana.....
  nijiandae kwa halua?lol
   
 10. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #10
  Feb 13, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mie ntakuja na tende na sambusa manyonya:coffee:
   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  Feb 13, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  haya we njoo na sambusa
  mie ntakuandali ndizi mshale...
  wajua kuitumia?

  umeona nilichandika kuhusu what womens want?maoni yako?
   
 12. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #12
  Feb 13, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Nimekupata my Valentine

  Nimeona my Valentine sifa zote najua unazo jiandae lol :first::first: nawe pitie ile thread uone tunachotaka :coffee::coffee:
   
 13. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #13
  Feb 13, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  ngoja nije pm....
   
 14. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #14
  Feb 13, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mhh nimeipenda pm :coffee::coffee:
   
 15. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #15
  Feb 13, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  mmhhh we haya
   
 16. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #16
  Feb 13, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Hapa ndo nahitaji sayansi ya kupaa na ungo :first:
   
 17. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #17
  Feb 13, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  naweza kukupaisha but sio na ungo...

  its called climax unaijua hiyo?
   
 18. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #18
  Feb 13, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,972
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Wangekuwa wanajua wanaume wanataka nini ingekuwa swaaafi sana.
   
 19. b

  bakarikazinja Senior Member

  #19
  Feb 13, 2011
  Joined: Nov 9, 2009
  Messages: 179
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  haya mimi nimefurahi sana ngoja niende nika some na wanaume wanaitaji nini
   
 20. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #20
  Feb 13, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Asante Superman kwa kutujuza, naunga mkono hoja.
   
Loading...