Ni Nini Hasa Mwanamke Anahitaji? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni Nini Hasa Mwanamke Anahitaji?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Superman, Mar 23, 2011.

 1. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145

  Ni nini hasa Mwanamke anahitaji kutoka kwa Mwanamume na katika Maisha yake?


  Assume:


  1. Ni binti Mrembo wa asili wazazi wako ni watu makini, waelewa, wasomi na wanaoheshimika sana katika jamii na wamekulea vema, ukapata mume makini anayejiheshimu na mwenye upendo wa kweli akakuoa - Hutaki kutulia macho juu juu, memeo akagundua nyendo zako na kukukanya, ukaomba msamaha akakusamehe maisha yakaendelea.

  2. Ulikuwa huna kazi, mumeo akakukabidhi kampuni uiendeshe, ukaifanya kampuni kijiwe cha mashoga zako na mawasiliano na wanaume zako na kisha kutafuna mapato ya kampuni, mumeo akakuondoa kukunusuru wewe na kampuni. Ukakusamehe makosa yako maisha yakaendelea.

  3. Mumeo kwa upendo ili usiwe bored akakutafutia kazi nzuri na makini ya kuheshimika, ukaanza kufanya kazi lakini kiwango chako cha utendaji kikawa chini na pia bado unajihusisha na wanaume nje ya ndoa. Mumeo akagundua, kakukanya tena ukaomba msamaha. Mwajiri akaamua kukuondoa kazini kwa kuwa kazi huwezi.

  4. Mumeo akaamua kukutafutia mtaji mkubwa ufanye biashara zako, ukatumia bado nafasi hiyo kuendeleza mambo yako na wanaume.

  5. Bado mumeo kakununulia gari na unaweza kutumia magari mengine yaliyopo nyumbani, lakini bado huonekani kuridhika.

  6. Mumeo huyo, anakuonyesha mapenzi makubwa usiku na mchana, anakutunza, anakupa kila kitu utakacho, anakupa pesa zozote unazohitaji na kukupeleka popote utakapo nakuridhisha kwa mahitaji yako yote ya kimapenzi, kimwili, kihali na kimali lakini bado hutulii wewe na wanaume tu.

  7. Elimu yako ilikuwa ya chini akakuendeleza kufikia level ya Chuo Kikuu (Degree), lakini bado wewe na wanaume tu kila kukicha.

  8. Mumeo kwa upendo hakutaka mambo yako yajulikane nje hata hivyo mara kadhaa katumia rafiki yake wa familia wa karibu sana kukuonya ili ujirekebishe, kila wakati unaomba msamaha utaacha na kujirekebisha lakini huachi. Anajitahidi kukuchukua mara kwa mara mkapime HIV ili kujinusuru na kukufanya uwe makini lakini somo halieleweki.

  9. Mumeo anakuchukua nje ya nchi mahali kwa likizo muwe wawili tu mpate kudumisha mapenzi na kurelax, lakini muda mwingi wewe unautumia kupiga simu kuongea na wanaaume wako na SMS kibao.


  10. Hatimaye mume wako anaamua kukufuatilia ajue ni nini shida yako hasa, anagundua miaka yote mliyopo katika ndoa umekuwa na mahusiano na wanaume wengine na kibaya zaidi ni kuwa si moja tu bali ni zaidi ya watatu. Ili kusikia kauli yako kama ni kweli unafanya hayo mambo safari hii anamuhusisha mama yako mzazi ambaye ndoyo tegemeo la mwisho la kwako, unakubali mbele ya mama na mumeo kuwa ni kweli hayo mambo umekuwa ukiyafanya na kutahayari kuonyesha kuchanganyikiwa na sasa mume umeamua "Kujiweka Pembeni, kuepusha msongamano".


  Lakini bado hili jambo linaaacha maswali mengi moja wapo ni hili: NI NINI HASA MWANAMKE ANAHITAJI KUTOKA KWA MWANAUME NA KATIKA MAISHA YAKE?
   
 2. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Attention na muda .
  Labda huyo jamaa yuko busy zaidi na kutafuta pesa kasahau kuwa anatakiwa kuwa na muda wa kuwa na mke wake.
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Oooops hii ni mitihani ya maisha ,hili zito nitakuja baadae na mchango wangu lakini kwa kifupi Kinguru hafugiki,Na je upande wa chumba cha mawasiliano 6 x 6 mme anajiweza ?
  bado natafakari
   
 4. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Superman,hii mada imenigusa ni hatari,haya unayoyasema nimeyashuhudia mara nyingi.Superman achana na wanawake,vichwa vyao wanavijua wenyewe.Kuna jamaa namfahamu katoka Loliondo majuzi kumpeleka mkewe,mambo yenyewe haya haya ,mara amfumanie na dereva wa nyumbani fukuza dereva,mara amfumanie na kijana mfanyakazi kwenye biashara ya mzee fukuza kazi,mradi tu vituko haviishi.Ukiangalia nyumbani mama anatimiziwa kila kitu na majuzi kwenye routine check mama kaukwaa baba ndo akamchukua wamekimbilia kwa Babu Loliondo.Sijui nisemeje yaani hatuwezi kuishi bila wanawake na kuishi nao ni misukosuko,bifu,timbwili,mawenge,yaani taaaaaaaaaabu kweli kweli,Mungu tu anajua.
   
 5. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Wanaume kibao wanawahi nyumbani,outing kila wiki na bado wanaibiwa.
   
 6. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Refer No. 6. inasema:

  6. Mumeo huyo, anakuonyesha mapenzi makubwa usiku na mchana, anakutunza, anakupa kila kitu utakacho, anakupa pesa zozote unazohitaji na kukupeleka popote utakapo nakuridhisha kwa mahitaji yako yote ya kimapenzi, kimwili, kihali na kimali lakini bado hutulii wewe na wanaume tu.
   
 7. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  FL kunguru hafugiki kweli na sikio la kufa halisikii dawa,mwisho wake kwa hali ya magonjwa ya siku hizi ni disaster tu.
   
 8. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  No. 6:

  6. Mumeo huyo, anakuonyesha mapenzi makubwa usiku na mchana, anakutunza, anakupa kila kitu utakacho, anakupa pesa zozote unazohitaji na kukupeleka popote utakapo nakuridhisha kwa mahitaji yako yote ya kimapenzi, kimwili, kihali na kimali lakini bado hutulii wewe na wanaume tu.
   
 9. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #9
  Mar 23, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  A very sad true story. Nini chanzo?
   
 10. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #10
  Mar 23, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Same case.
   
 11. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #11
  Mar 23, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,634
  Likes Received: 1,404
  Trophy Points: 280

  wa namna hii ni wa talaka fasta kama ndoa ya kikatoliki utajuta
   
 12. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #12
  Mar 23, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,268
  Likes Received: 1,419
  Trophy Points: 280
  Vitu vya kupewa si vizuri kwa wengi huvi abuse kwa vile hawajui uchungu wa kuvikosa. Huyu binti kalelewa mambo safi kuanzia kwao hadi kwa mume. Hajui shida wala kutafuta. Mfano ni hapo wazazi wake walipokuwa na heshima na elimu lakini binti kaja kusomeshwa na mumewe. Ina maana wazazi walishamshindwa.

  Tuwalee watoto wetu vyema ili wajue na waweze kutofautisha kupata na kukosa.
   
 13. RR

  RR JF-Expert Member

  #13
  Mar 23, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,717
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  Compatibility...
  Sio kila uyaonayo ni mazuri mkeo atayaona mazuri....simply hamko kwenye uelekeo mmoja....
   
 14. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #14
  Mar 23, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  hv inawzekana eeh? Huyo atakuw ni knguru na kngru hafugk! Achana nae cz yeye co samak pekee bhrn. Kscho rdhik hakilk. Jiweke pemben! Utakfa na Aids.
   
 15. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #15
  Mar 23, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Jamaa yuko ok ana kazi nzuri na kwa mtu wa nje ndoa inaonekana stable ,kumbe wapi bana mke kicheche , jamaa yuko negative.
   
 16. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #16
  Mar 23, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Noted. lakini swali la kimsingi liko pale pale . . . Ni nini hasa Mwanamke anataka?
   
 17. CPU

  CPU JF Gold Member

  #17
  Mar 23, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mkuu
  Binadamu wote hawaridhiki
  Ila kwa kizazi cha sasa ukimfanyia yote haya mwanamke umeumia
   
 18. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #18
  Mar 23, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Hii ndiyo sababu ya mambo anayofanya?

  Assume alisomeshwa kiwango cha Advanced Diploma na wazazi . . . .

  Hata hivyo swali la msingi halijajibiwa.
   
 19. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #19
  Mar 23, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,268
  Likes Received: 1,419
  Trophy Points: 280
  Every human being is unique, huwezi generalize nini mwanamke anataka. Utakachomfanyia au mpatia mwanamke mmoja, sio lazima mwanamke mwingine akiappreciate. Handle women individually.
   
 20. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #20
  Mar 23, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Nakusoma. Je hao mahusiano na wanaume 3 au zaidi ana compatibility nao au hana?
   
Loading...