Ni Nini Hasa Mwanamke Anahitaji?

girls are easy to convince!!!ukiipata weakpoint yake,hata kama apewe vitu vya kila aina!!!!
 
.....huyo mwanamke hakumpenda mumewe, alikuwa zaidi kimaslahi ndio maana alikuwa na wanaume wengine huko nje. Hivi kama umempenda mumeo kikweli kweli kutoka moyoni utamfanyia hivi kweli? Hivi kumbe kuna wanaume wavumilivu kiasi hiki!!
 
Noted with appreciation.

For whatever reasons, how many men can a woman have at a go and why? I wonder.
 
Surely even women themselves dont know what they want, coz the answer varies with time, place and other factors
 
Huyo mwaqnamke ni mkosi omba usikukute,muda huu sjui cha kufanya bt ikifika nitajua
 
Surely even women themselves dont know what they want, coz the answer varies with time, place and other factors
Oooh, Could it mean that they are complex beings or this applies to men as well?
 
...dah! hii kesi imenichoma kwenye kidonda cha moyo.
Baada ya yote haya, Mwanamke huyu anastahili msamaha kweli?

Hana alitakalo, ila roho yako.
Inauma sana, bora kuachana kwa heri.
 
<p> </p>
<p>&nbsp;</p>

Labda tumuulize huyo mume nini haswa kimemchanganya kwa huyo mkewe ambacho wanawake wengine hawana? au labda asionekane kaacha mke au asioneka hana ndoa?
 
...dah! hii kesi imenichoma kwenye kidonda cha moyo.
Baada ya yote haya, Mwanamke huyu anastahili msamaha kweli?

Hana alitakalo, ila roho yako.
Inauma sana, bora kuachana kwa heri.

Kwani adam alimwacha eva baada ya yote yale?
 
...dah! hii kesi imenichoma kwenye kidonda cha moyo.
Baada ya yote haya, Mwanamke huyu anastahili msamaha kweli?

Hana alitakalo, ila roho yako.
Inauma sana, bora kuachana kwa heri.

Could this be a case of "Serial Cheater" or "Sex Addict"
 
<p></p>
<p>&nbsp;</p>

Labda tumuulize huyo mume nini haswa kimemchanganya kwa huyo mkewe ambacho wanawake wengine hawana? au labda asionekane kaacha mke au asioneka hana ndoa?

Mkuu. kila mtu anayo mahitaji yake katika maisha. Na isitoshe hakuna binadamu aliye mkamilifu. Bila ya shaka alikuwa anatimiza jukumu lake la kutoa msamaha huku akimkanya.
 
Atapewa Mali na kila chenye thamani,
Kama hataridhishwa (hatafikia kilele cha mapenzi),
Mali na vyote alivyopewa si thamani kwake.
Nina ushahidi wa scenarios kama hizo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…