The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
:lol::lol::lol: Napita tujogoo waga anapanda wapi Susy?mi nawaonaga kwenye tambarare tu bandani kwao...kuna wanaopanda milima?....l.o.l:lol:
:lol::lol::lol: Napita tujogoo waga anapanda wapi Susy?mi nawaonaga kwenye tambarare tu bandani kwao...kuna wanaopanda milima?....l.o.l:lol:
Kama katika Miaka 5 vyote hivyo vimetolewa kwa huyo binti na bado yuko hivyo . . . Niaje?
Ukweli ni kwamba complete satisfaction is impossible.
Bali kwa hofu ya kumkasirisha Mungu ndio inawezekana kuzuia tamaa zisizo za msingi kwa wanadamu
duh!! mambo yote hayo ni mwanamke tu!!
lbd na ww mkaka unamatatizo tena makubwa tu, haiwezekani eti umfanyie mtu yote hayo alafu bado atoke nje, lbd jogoo lako halipandi!!!
6. Mumeo huyo, anakuonyesha mapenzi makubwa usiku na mchana, anakutunza, anakupa kila kitu utakacho, anakupa pesa zozote unazohitaji na kukupeleka popote utakapo nakuridhisha kwa mahitaji yako yote ya kimapenzi, kimwili, kihali na kimali lakini bado hutulii wewe na wanaume tu.
Hii point yako no. 6 sita hainisaidii chochote kama hutaki kuniheshimu na kuona utu wangu uko wapi. Heshima iko wapi hapo, kunisikiliza katika maamuzi iko wapi hapo??? Na huwezi kunipa kila kitu bana
bado ana search apate yule anayemfaa....yawezekana ana list ndefu tu,akimpata yule amatakaye atatulia
Duh! naona lugha inakuwa ngumu kuelewa. Umeambiwa:
Mume anakuridhisha kwa mahitaji yako yote ya kimapenzi, kimwili, kihali na kimali lakini bado hutulii wewe na wanaume tu.
Ziada ni kuwa Bibie aliachiwa maamuzi yote makubwa katika nyumba na ya kimaendeleo lakini interest yake ni almost nil.
Naona tutafika mpaka asubuhi kwaheri
tokea uchumba huyo jamaa anaonekana kumvuta demu kwa pesa na si upendo wa thati,huyo demu bado hataona mapenzi kwenye pesa coz hayapo hapo,bali ni upedo wa kweli...............makosa yapo tokea pre-marriage period,it wasnt love bt cashhhhh:smash:
Kunipa kila kitu sio sababu hata unifanyie birthday kwenye ndege sitaridhika.
Mwanamke anahitaji:
Kupendwa hata kama yeye hapendi (kubali kataa lakini hiyo ndo hali)
Kudekezwa
Kubembelezwa hata kama amekosea yeye
Kuombwa samahani
Kuambiwa nakupenda sweet, baby na mengine
Kufanyiwa kila kitu na kuonyeshwa
Kujaliwa sana
Sita kwa sita pia imo
nk
Jamani tusikimbilie kuwafanyia vitu bila kuonyesha unajali, unampenda, unamuheshimu hasa katika maamuzi ndani ya nyumba,
Ndoa au mahusiano ni zaidi ya pesa za kunifungulia miradi na kunitafutia kazi.
Tunahitaji attention kubwa kutoka kwenu nyie wanaume kunipa magari na mabiashara yako si mali kitu kabisa bila kunijali.
Nitarudi
Superman,hii mada imenigusa ni hatari,haya unayoyasema nimeyashuhudia mara nyingi.Superman achana na wanawake,vichwa vyao wanavijua wenyewe.Kuna jamaa namfahamu katoka Loliondo majuzi kumpeleka mkewe,mambo yenyewe haya haya ,mara amfumanie na dereva wa nyumbani fukuza dereva,mara amfumanie na kijana mfanyakazi kwenye biashara ya mzee fukuza kazi,mradi tu vituko haviishi.Ukiangalia nyumbani mama anatimiziwa kila kitu na majuzi kwenye routine check mama kaukwaa baba ndo akamchukua wamekimbilia kwa Babu Loliondo.Sijui nisemeje yaani hatuwezi kuishi bila wanawake na kuishi nao ni misukosuko,bifu,timbwili,mawenge,yaani taaaaaaaaaabu kweli kweli,Mungu tu anajua.