Mwiba,
kupiga chabo ni ugonjwa wa kisaikolojia kama magonjwa mengine. uko kwenye fungu la sexual daiversions. wapiga chabo wakubwa hawawezi mpaka waanzie kwenye chabo, hufikia mpaka kulipia pesa gesti za uswahilini na kupata chabo. inapobidi, basi hata kumchungulia tuu mkewe anapovua kwenda kuoga.
wapiga chabo wakuu ni wazanzibari. hujulikana kwa jina maarufu la makozi men.
Kwa sasa niko hapa Pretoria, kenye mtaa maarufu wa Proterius Street, kuna la mambo ya kukubwa. ukiwa huko dukani unalipia rand 10,unaingia kwenye show inaitwa 'peeping tom'. Ni kijichumba cha giza, unachungulia kwenye viundu kama vya ufunguo, upande a pili, utaona watu live, wanafanya mambo.
Tatizo, hiyo rand 10 unayolipia ni show ya dakika 2. kufunga kufungua dakika mbili zimeisha huku gemu ndio kwanza linakolea, unajikuta unaongeza dakika mbili tena ili uone mpaka mwisho wa mchezo, nayo itaisha gemu halijaisha, ndipo nikashtukia hiyo ndiyo deal yenyewe, gemuhaliishi, unabaki kushangaa. nashukuru sio mgonjwa vinginevyo ningefilisika.
Nakumbuka ujana mitaa ya ilala, unachukua demu na kuwaambia washikaji waje kupiga chabo ili kuwaonyesha ulivyo bingwa.Kwa vile unajua unaangaliwa, basi ndio unafanya kwa masifa. nadhani hata uchafu wa kutaka tigo unaanzia kwenye kuiga na kujifanya shujaa.
hata wale waangaliaji sana wa porno, pia wanamatatizo bila kujijua. cha muhimu baada ya kujua ni tatizo njia ni kujiepusha.