Ni ngumu mwanamke kufanya ngono na rafiki yake wa kiume

Wanaume wa namna hiyo wanakuwa wameathirika kisaikolojia na kujikuta nusu ke nusu me;kwa mwanaume rijali,hakuna urafiki wa mwanamke na mwanaume wa muda mrefu usiokuwa na madhara.
 
Wanaume wa namna hiyo wanakuwa wameathirika kisaikolojia na kujikuta nusu ke nusu me;kwa mwanaume rijali,hakuna urafiki wa mwanamke na mwanaume wa muda mrefu usiokuwa na madhara.
Well said
Mimi hua nawatongoza hata kama sina mpango nao.wengine wakikubali tu nawapotezea yani hua naamini mwanamke ni kiumbe wa kutongozwa TU !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui ni kwanini sisi wanawake tukizoeana na wanaume na kuwa marafiki sana hata wakija kututaka kimapenzi inakuwa ngumu tunaogopa.

Unakuta ni mtu wako sana yaani, mnashare kila kitu hata mizinga unampiga fresh ila kulala nae sijui unaonaje!

Ni bora ukagegedwe huko hata kama unaumizwa lakini si na rafiki yako.

Na nyie wakaka kama mnatutaka msitufanye marafiki sana bwana tunaogopa kuja kuwavulia tunakuwa tushawaona mabrother wetu wa damu eti.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sijawahi kuamini uongo huu!

Cc Asprin

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom