Ni ngumu mwanamke kufanya ngono na rafiki yake wa kiume

Sijui ni kwanini sisi wanawake tukizoeana na wanaume na kuwa marafiki sana hata wakija kututaka kimapenzi inakuwa ngumu tunaogopa.

Unakuta ni mtu wako sana yaani, mnashare kila kitu hata mizinga unampiga fresh ila kulala nae sijui unaonaje!

Ni bora ukagegedwe huko hata kama unaumizwa lakini si na rafiki yako.

Na nyie wakaka kama mnatutaka msitufanye marafiki sana bwana tunaogopa kuja kuwavulia tunakuwa tushawaona mabrother wetu wa damu eti.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hujawa rafiki yangu wewe, nitakuombaaaaaaa, shauri yako.
 
Sijui ni kwanini sisi wanawake tukizoeana na wanaume na kuwa marafiki sana hata wakija kututaka kimapenzi inakuwa ngumu tunaogopa.

Unakuta ni mtu wako sana yaani, mnashare kila kitu hata mizinga unampiga fresh ila kulala nae sijui unaonaje!

Ni bora ukagegedwe huko hata kama unaumizwa lakini si na rafiki yako.

Na nyie wakaka kama mnatutaka msitufanye marafiki sana bwana tunaogopa kuja kuwavulia tunakuwa tushawaona mabrother wetu wa damu eti.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikuwahi kuwatongoza marafiki zangu wa kike, hatukuwahi kuwa wapenzi, Lkn karibu wote niliwagegeda
 
Sijui ni kwanini sisi wanawake tukizoeana na wanaume na kuwa marafiki sana hata wakija kututaka kimapenzi inakuwa ngumu tunaogopa.

Unakuta ni mtu wako sana yaani, mnashare kila kitu hata mizinga unampiga fresh ila kulala nae sijui unaonaje!

Ni bora ukagegedwe huko hata kama unaumizwa lakini si na rafiki yako.

Na nyie wakaka kama mnatutaka msitufanye marafiki sana bwana tunaogopa kuja kuwavulia tunakuwa tushawaona mabrother wetu wa damu eti.
Sio sana wawazoee kiasi eti eh nice thinking.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee hiyo imenitokea kwa rafiki yangu wa Jf hata kulala tunalalaga pamoja akija Dom au nikienda Dar na wala hatufanyi aisee siku akiniomba mzigo sijui itakuwaje nimemzoea tu kama rafiki na tunashare mambo mbali mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatzo la dem mlio marafki weng wao huamin kuw kila unachomwambia ni utan, sasa hata linapokuja swala la kumuomba kumgegeda atajua ni utani, sasa bac usimgegede kwa kumuomba ukiwa serious, yan kimasihara sihara utashangaa tu imoo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom