Ni ngumu mwanamke kufanya ngono na rafiki yake wa kiume

Sio kweli ukitaka kumla ni rahisi sana, mwaka 2008 Dada mmoja tulikuwa tunasoma nae na alikuwa rafiki yangu sana mara nyingi alikuwa anakuja home tunasoma siku za weekend Mimi pia nilikuwa naenda kwao ila kuna siku ilitokea tunashikana shikana akavua kirahisi bila hata kumtongoza nikapga ndio ikawa mtindo nikiwa na hamu tu Namtafuta mpk Leo tukikutana ananipa bila hiyana mwaka Jana nilienda home likizo nikakutana nae nikamgegeda usiku kucha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nna rafiki angu wa kiume ni rafiki close kabisa yani yule crayz friend alikuwa anakuja kulala kwangu kila ijumaa anaondoka jpili,na mimi hivyo hivyo yani tunapeana tu zamu ijumaa hii kwangu ijumaa hii kwako,yani mpka mpenzi wake walikuwa wanagombana kwa ajili yangu afu mimi tena ndo nakuwa msuluhishi,kuna siku usiku tumelala ghafla kavua tukaanza kukumbatiana hatimaye tukavunja amri ya sita,asubuhi palipokucha kila mtu anasema sorry bahati mbaya,kwahiyo kwetu hiyo ilikuwa ni one night stand,japo baada ya hapo aliendelea kuja kila ijumaa na tulikuwa hatufanyi chochote,tuliacha hiyo tabia ya yeye kuja kulala kwangu nilivyopata mpenzi,na hata urafiki ulipungua,sahizi yeye yupo zake uk,
Hiyo inaitwa frendzone

Hamkurudia tena kwasababu hakuna kitu Kati yenu kilichomvutia mwenzake kwenye sex

Sent using Jamii Forums mobile app
 
demu akiwa na vitako vidogo kama bagia za kihindi ata tukilala nae sishituki,,na urafiki ruksa,,,ila misambwanda,,watoto wachambia hamira sinaga urafiki nao,,,ivi tako kubwa lote afu uwe rafki angu,,?ili nigundue nin,,,tena mwenye msambwanda ukimgusa kwenye mstari wa makalio,,utaskia ooooohgsh...uuuuhuuuu....apo kifuatacho ITV ni michezo tu
 
Sijui ni kwanini sisi wanawake tukizoeana na wanaume na kuwa marafiki sana hata wakija kututaka kimapenzi inakuwa ngumu tunaogopa.

Unakuta ni mtu wako sana yaani, mnashare kila kitu hata mizinga unampiga fresh ila kulala nae sijui unaonaje!

Ni bora ukagegedwe huko hata kama unaumizwa lakini si na rafiki yako.

Na nyie wakaka kama mnatutaka msitufanye marafiki sana bwana tunaogopa kuja kuwavulia tunakuwa tushawaona mabrother wetu wa damu eti.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nakugegeda kiroho safi aisee

Rafiki anakupata vizuri saana kwa mbinu za kirafiki. Wala huwezi jutia. Ila akitumia mbinu za mtu asie rafiki ndio utajisikia hivyo.
 
Mimi nina my friend wa kike nampenda sana siwezi kumtaka wala kumlala hata tukae kitandani uchi, sababu najua mimi na yeye tutafanya makubwa tukiwa marafiki kuliko tukiwa katika kufanya mapenzi, I’m sure tukivuana chupi tutapoteza strong friendship
 
Sijui ni kwanini sisi wanawake tukizoeana na wanaume na kuwa marafiki sana hata wakija kututaka kimapenzi inakuwa ngumu tunaogopa.

Unakuta ni mtu wako sana yaani, mnashare kila kitu hata mizinga unampiga fresh ila kulala nae sijui unaonaje!

Ni bora ukagegedwe huko hata kama unaumizwa lakini si na rafiki yako.

Na nyie wakaka kama mnatutaka msitufanye marafiki sana bwana tunaogopa kuja kuwavulia tunakuwa tushawaona mabrother wetu wa damu eti.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo kitu labda ni kwako na wanawake wachache tu. Ikitokea dharula wanaombwa na wanatoa tu kama kawaida. Ungekuwa mwanaume ungeelewa Miss Natafuta.
 
Aiseeeee

Back
Top Bottom