Ni ngumu kutuelewa

[emoji23][emoji23][emoji23] mtu kila kitu ndio mzee hata ukikosea wewe anaomba radhi yeye khaaa what a boring relationship

Hainogi hata raha ya relationship mchallengiane bhana[emoji23][emoji23]
 
Ndo maana nina timu ya mpira salma akizengua au akiwa kisiran siku hiyo najituliza kwa asha

Cha msingi
.usishikwe
.wadanganye utawaoa
Sio tabia nzuri kutamka neno ndoa kwa mtu ambae huna mpango wa kumuoa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…