Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,884
- 183,197
Mie mpole hatari.Ah wapi we mbishi bishi, upole unautoa wapi!?
Mie mpole hatari.Ah wapi we mbishi bishi, upole unautoa wapi!?
Yeah, puting a woman in her right place makes her feel loved. Sio makofi ya vita ila makofi ya kimapenziMakofi tena[emoji849]
Mwenza jamani wewe ndio mdhamini wangu katika hili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] kiukweli kabisa usitegemee mimi naweza kukudhamini
Ili baadae ije ijulikane letu moja?Mwenza jamani wewe ndio mdhamini wangu katika hili[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Logic ipi unayoapply wakati hata mada hujaielewa
ha ha ha hapa nilipo tayari ni baba,mi huwa napenda watoto sana na wachukue sura yanguKwa hilo tu, basi umepoteza kigezo cha kuwa BABA.
[emoji23][emoji23] kabisaHainogi hata raha ya relationship mchallengiane bhana[emoji23][emoji23]
Yani kazi ipo kwa kweli [emoji23][emoji23]Na hivi usukumani hamna mambo hayo[emoji23][emoji23]
Welcome to the cribLucky you
Hiyo ipo automatically.... Mimi nadhani nimezidi dooooh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna siku naamka nina kisiraniii, ukinisalimia kosa usiponisalimia pia kosa.
Ndio tunapambana mkuu,bila kufanya hivyo nyie hamkawii kubadilika...nibora mtoto awepo hata ukija kubadilika unajua ulitekeleza sababu ya mtotoEndelea kutekeka mkuu utimize ahadi lkn
Awe anakupenda.... Mwenzangu na mie anaendelea na shughuli zake hajali wala nini utajichekesha mwenyewe.... Viumbe Wana dhambi hawaHii ikitokea unaeza muonea huruma mlengwa maana na yeye anakuwa hakuelewi
Sio tabia nzuri kutamka neno ndoa kwa mtu ambae huna mpango wa kumuoa.....Ndo maana nina timu ya mpira salma akizengua au akiwa kisiran siku hiyo najituliza kwa asha
Cha msingi
.usishikwe
.wadanganye utawaoa