Siyo kila nyanja ila msichepuke wala kuoa wake zaidi ya mmoja na tunaposema hivyo siyo kwamba tunataka tuwe sawa na nyie hapana bali tunasema hivyo kwa sababu ni dhambi yaani hata mwanamke kuchepuka au kuolewa na waume zaidi ya mmoja ni dhambi kwahiyo haitakiwiSawa Miss Edelyn tukienda tofauti na mnavyotaka tunakuwa wahuni basi tutakuwa sawa kila nyanja kama mnavyotoka