Ulivyosema kisosi imebidi nicheke kwa sauti kweli,kumbe unayajua vizuriMkuu utakua na mtanga si bure mambo ya kubebewa kwenye kisosi[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] huyu ananielewa sana sina wasiwasi nae sema kuna eneo moja tu ambalo huwa tunagombanaUsikose kumpa mood swing zaidi akapunguza kukupenda[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hilo tu, basi umepoteza kigezo cha kuwa BABA.ha ha ha ha anizalie kwanza...
Acha tu baby mie tenaa, mwanamke ambaye sio kichaa kichaa hanogi nae. Sometimes inabidi tuchemshane kidogo nikuzabe hata kofi ukae kwa kutulia[emoji23][emoji23][emoji23] si ndio maana unanipenda baby[emoji85]
Sasa hapo ndo shughuli huo utundu mpaka niujue inabidi nifundwe [emoji23] vinginevyo nitaibiwa tu.[emoji23][emoji23]si lazima uende chuo ni utundu tu
Mkuu upo kihisia zaidi hujaelewa mada
Acha tu baby mie tenaa, mwanamke ambaye sio kichaa kichaa hanogi nae. Sometimes inabidi tuchemshane kidogo nikuzabe hata kofi ukae kwa kutulia
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah hatujakaa pamoja mahali ila siku tukikaa ni shida. U sound like a stubborn kind of lady ila raha sana ku deal na hilo hasa ukiwa na uromantic kwa mbaliiiNimekusumbua lini?
Kwa nini asinizalie sasa!Kwaiyo asipokuzalia ahadi hazitekelezeki
Ewaaa, mjumbe ndio huwa hanogi kwa kweli[emoji23][emoji23][emoji23] mtu kila kitu ndio mzee hata ukikosea wewe anaomba radhi yeye khaaa what a boring relationship
Umejenga kiwanda cha kutengeneza single moms?Kwa nini asinizalie sasa!