Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,560
- 63,047
ha ha ha ha mfano nipo sebuleni nimekaa kwenye sofa,utanipa ishara gani ya kuwa wewe unahitaji tunda...?Sasa hapo ndo shughuli huo utundu mpaka niujue inabidi nifundwe [emoji23] vinginevyo nitaibiwa tu.[emoji23][emoji23]