ha ha ha ha,ukitaka unufaike zaidi jaribu wewe kudekezaHaiwezi ikawa sana Ke inabidi afanyiwe zaidi
ha ha ha ha natoa ahadi nyingi sana....kuhusu utekelezaji ni suala lingineKwahiyo ushanunua magari mangapi na kunjenga majumba mangapi kwa kudekezwa?
hapana,we ndio utakuwa mgumuWanaume wengine hawajui kudekezwa ni wagumu [emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe ndio walewale ccm[emoji134]ha ha ha ha natoa ahadi nyingi sana....kuhusu utekelezaji ni suala lingine
Mwanaume hadeki bwana...hapana,we ndio utakuwa mgumu
Alafu anataka adekezwe[emoji134]Wazee wa ahadi nyingi utekelezaje 0
bado hujampata atakayeteka akili yako,ukimpata tu utatamani uje ufute haya manenoItakua upotevu wa resources mkuu
ha ha ha ha anizalie kwanza...Kumbe ndio walewale ccm[emoji134]
Mwanaume yeyote ni mrahisi kwa mwanamke anayempendaUhh wee hujakutana na wakurya
Wenzako wanawaogesha waume zaoMwanaume hadeki bwana...
Tunatekeleza iwapo kuna kiunganishi kisichofutika kiurahisiWazee wa ahadi nyingi utekelezaje 0
Nilishaanza kutekeleza hatua za mwanzoUhh wapi mkuu haitakaa itokee,wewe mbona umeishia kwenye ahadi tu utekelezaji hakuna