mirna92
JF-Expert Member
- Feb 20, 2019
- 502
- 1,003
Haswa hili nalo nenoKuzalisha sio kuwa baba.
Haswa hili nalo nenoKuzalisha sio kuwa baba.
[emoji23][emoji23][emoji23] wala sitakiAndika ndugu yangu unifundishe maana nahofia kuibiwa [emoji1787]
ha ha ha ha malengo yangu niwe watoto 10;4 kwa mke wangu 6 watoke nje na wapate huduma sawa kama wa ndaniUtazalisha wangapi mkuu inamaana kila penzi lililokunogea unatia sahihi
ha ha ha itabidi ujitahidi nkoiYani kazi ipo kwa kweli [emoji23][emoji23]
like'Cause I don't care when I'm with my baby, yeah
All the bad things disappear
Yeah, you're making me feel like maybe I am somebody
I can deal with the bad nights when I'm with my baby, yeah
Ngoja nitafute mwalimu ili nisiwe nyuma katika hili.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wala sitaki
ha ha ha ha malengo yangu niwe watoto 10;4 kwa mke wangu 6 watoke nje na wapate huduma sawa kama wa ndani
[emoji23][emoji23]ha ha ha itabidi ujitahidi nkoi
Andika tu mkuu sisi wengine ni madaktari lugha unayoona kwako ni matusi si wengine ndio lugha zetuNilichotaka kuandika hapa....
ha ha ha ha hapo mzee hanyanyuki kabisa...utashangaa kila siku unalalamika hauridhishwi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kazi ndogo tu kwa sie wasukuma ntakuita baba naniliu njoo....[emoji23][emoji23][emoji23]
Uliulizaje tena swali lako?Nimegee siri bhana
ha ha ha na huduma zote muhimu wanapataKuzalisha sio kuwa baba.
Usipende kufanya hivyo....unaweza kuambulia kichapo kila wakatiMe naamkaga na mood ya kuanzisha ugomvi tu natakaga nijue mwenzangu akikasirika anakuwagaje