Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,911
- 21,929
Hatutawaelewa kwa sababu:
1. Mliumbwa wakati sisi wanaume tupo usingizini. (Adamu alilala halafu akatolewa ubavu uliomtengeneza mwanamke).
2. Ninyi wenyewe hamuelewani. Kwa hiyo sasa sisi ni akina nani hata tuwalewe?
3. Sisi tunatumia logic kuwaza, ila ninyi mnatumia hisia zaidi na mihemko