Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,491
- 62,884
Mfano bi mkubwa amejifungua amenipa likizo miezi minne;hapo unafikiri utaishi je?Kwa namna moja au nyingine lazima umuonee huruma....na yeye pia atakuwa anahisi mr atakuwa anagonga nje,lakini sionyeshi dharau maisha yanasonga.Sidhani kama ni sababu ya kukufanya uwe na wengine nje
Hilo halina shida ila mnaofanya hayo mnatakiwa mkubali tu kuwa mnatenda dhambi na dhambi inaweza kutendwa na binadamu yeyote yule maana dhambi haichagui mtu na shetani naye anamjaribu kila mtu hivyo basi hata wanawake wanaogawa nje nao msiwalaumu maana nao ni binadamu tu ambao wanakuwa wametenda dhambi na wamejaribiwa na shetani kama nyie tu hivyo kwenye hilo tuelewane tuha ha ha ha sio sifa,ni hali halisi lakini hata ukitafuta msaidizi nje isiwe sababu ya kuvunja uhusiano ndani...na mara nyingi tunaogonga nje na kutimiza majukumu yetu ndani vizuri;ndoa zetu huwa zina afya sana...kwa sababu bi mkubwa atakuwa na wewe atakapokuwa na hamu tu
Huwa wanasababu zingine kama kutokukojozwa n.kHilo halina shida ila mnaofanya hayo mnatakiwa mkubali tu kuwa mnatenda dhambi na dhambi inaweza kutendwa na binadamu yeyote yule maana dhambi haichagui mtu na shetani naye anamjaribu kila mtu hivyo basi hata wanawake wanaogawa nje nao msiwalaumu maana nao ni binadamu tu ambao wanakuwa wametenda dhambi na wamejaribiwa na shetani kama nyie tu hivyo kwenye hilo tuelewane tu
Hilo halina shida ila mnaofanya hayo mnatakiwa mkubali tu kuwa mnatenda dhambi na dhambi inaweza kutendwa na binadamu yeyote yule maana dhambi haichagui mtu na shetani naye anamjaribu kila mtu hivyo basi hata wanawake wanaogawa nje nao msiwalaumu maana nao ni binadamu tu ambao wanakuwa wametenda dhambi na wamejaribiwa na shetani kama nyie tu hivyo kwenye hilo tuelewane tu
Mkuu naomba nikupe haya maandiko mawili "lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe" na pia "ndoa na iheshimiwe na watu wote na malazi yawe safi wazinzi na waasherati Mungu atawahukumia adhabu"Mfano bi mkubwa amejifungua amenipa likizo miezi minne;hapo unafikiri utaishi je?Kwa namna moja au nyingine lazima umuonee huruma....na yeye pia atakuwa anahisi mr atakuwa anagonga nje,lakini sionyeshi dharau maisha yanasonga.
Sasa si ndo kama tu nyie mnavyokuwaga na sababu zenu za ajabu ajabu na ukishaona hivyo ujue hapo shetani kashaingilia kati maana kwenye dhambi ya uzinzi na uasherati ndipo shetani alipofanikiwa kuwateka sana binadamu kuliko kwenye dhambi nyingine yoyoteHuwa wanasababu zingine kama kutokukojozwa n.k
Yaani acha tu utatupiwa kila aina ya matusi na lawama utafikiri wewe ndo uliyevumbua hiyo dhambiKweli kabisa ila usiombee ukamatwe utaoneka unadhambi kumzidi shetani
ha ha ha haSasa si ndo kama tu nyie mnavyokuwaga na sababu zenu za ajabu ajabu na ukishaona hivyo ujue hapo shetani kashaingilia kati maana kwenye dhambi ya uzinzi na uasherati ndipo shetani alipofanikiwa kuwateka sana binadamu kuliko kwenye dhambi nyingine yoyote
Na wewe siku ukiwa na kisirani aende akajitulize kwa Juma si eti? Sema tena tusishindane na nyie
Huwa shida ni nini haswa???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna siku naamka nina kisiraniii, ukinisalimia kosa usiponisalimia pia kosa.
Haya maisha bila uselfish kila siku utakuwa unafungua uzi umeumizwa sjui huwaelew wanawakeUselfish huo mkuu
Akiwa anafanya effort atleast na mimi naweza jisogeza ila sio mzima mzimaKama na yeye anafanya effort kwako ili akufahishe y not
Nina nyumba gari kadhaa kazi nzuri na miradi kadhaa ya kuniingizia kipato madem madem wananifatafata ka nz'i kwa nini nisideke sasa😊Mwanaume hadeki bwana...