Hapan hapana hapanaHuwo ni uwoga umeonyesha inabidi uwe risk taker bhana jitoe kwa mwenzio



Mkuu nipende bas hata kidgo mbona unisukumiza kweny kuanzisha uzi wa kujinyongaacha uwoga bhana



Wewe unachonga, kuna wenzio wananyoa kipara kabisaaaa halafu anapaka wanjaMkuu sasa hii mifano uliyotoa dah ila nyusi hazinyolewi zinachongwa kupata shape ya kupakia wanja
Huko sio kudeka bali ni kuringa na kujiona unaefatwa ni wewe tu kwa sababu ya kipato chako.Nina nyumba gari kadhaa kazi nzuri na miradi kadhaa ya kuniingizia kipato madem madem wananifatafata ka nz'i kwa nini nisideke sasa![]()
Mkuu nipende bas hata kidgo mbona unisukumiza kweny kuanzisha uzi wa kujinyonga![]()



Siku nikianzisha uzi wa tahadhar ya kujinyonga ndo mtajua kujinyonga huko vpSasa kujinyonga huko vipi![]()
ukweli ndio huo sa ka ningekua sina kitu wangenifata??Huko sio kudeka bali ni kuringa na kujiona unaefatwa ni wewe tu kwa sababu ya kipato chako.
sasa mtu unamuonesha dalili zote kua humtaki lakini wapi full kubembeleza😊Hizo ni shobo mkuu sio kudekezwa
ok sawaHujajua bado tofauti inayozungumziwa hapo
Huwa nawaambia siku zote ninyi kuwa viongozi wetu haiwapi guarantee ya kufanya dhambi vyovyote mnavyojisikia kwa minajili ya kwamba tuwasamehe au tuwavumilie na tukiwauliza mnasema eti tusishindane na nyie tunajua hiyo ni defense mechanism yenu tu ya kuhalalisha maovu yenuhili la kucheat kwenu linaepukika na linawezekana sisi kdogo ni changamoto.. We are polygamist in nature wengine ndo hvyo wanajitahid kuwa faithful na wanateleza kidogo ata hvyo heshima ya mother house ipo palepale sasa sijajua kwa nini mnataka kupingana na mwanaume kila kitu ....huu unaouleta hapa ni ushindani ni vyema mkatambua nafasi zenu sisi ni viongoz kwenu... Mwanaume na aheshimiwe