Ni ngumu kutuelewa

Ni ngumu kutuelewa

Ndo maana nina timu ya mpira salma akizengua au akiwa kisiran siku hiyo najituliza kwa asha

Cha msingi
.usishikwe
.wadanganye utawaoa
Na wewe siku ukiwa na kisirani aende akajitulize kwa Juma si eti? Sema tena tusishindane na nyie
 
ha ha ha ha jifanye mjinga ule matunda mazuri ya dunia
Kwahiyo sisi kula mazuri yenu ni hadi tujifanye wajinga ila ninyi kula mazuri yetu mle kirahisi tu? Halafu kuna wanawake wamejifanya wajinga ila badala ya kula hayo matunda mazuri wameishia kula matunda mabaya na kufanywa wajinga zaidi ya wao wenyewe walivyojifanya wajinga na hapo napo utasemaje?
 
Back
Top Bottom