Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,160
- 55,667
ha ha ha ha,inategemea na aina ya mtu uliye naye kuna wengine huwa ni vizibo tuKwahiyo sisi kula mazuri yenu ni hadi tujifanye wajinga ila ninyi kula mazuri yetu mle kirahisi tu? Halafu kuna wanawake wamejifanya wajinga ila badala ya kula hayo matunda mazuri wameishia kula matunda mabaya na kufanywa wajinga zaidi ya wao wenyewe walivyojifanya wajinga na hapo napo utasemaje?
🏽♀️