Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,156
- 55,656
Mfano bi mkubwa amejifungua amenipa likizo miezi minne;hapo unafikiri utaishi je?Kwa namna moja au nyingine lazima umuonee huruma....na yeye pia atakuwa anahisi mr atakuwa anagonga nje,lakini sionyeshi dharau maisha yanasonga.Sidhani kama ni sababu ya kukufanya uwe na wengine nje
