Nyie sometimes hata mkiwa mmechoka tu ni mwendo wa kugombana na kununiana na hata wivu huwapelekea kutununia ama msipotimiziwa au kuruhusiwa mambo yenu pia mnanuna, binafsi nawafahamu kiasi.
Kweli sikataiKweli umetusoma sema bado vipya vipo vingi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jinga hili eti "Uzi tayari"Mood swingView attachment 1121989uzi teyari
Sio kunyenyekewa tu bali kudeka pia, na umpate anaejua kudekeza........
Siku moja tumeenda kula nikamuambia waiter amsikilize akakataa akasema yeye hali...nikamwambia bas kama huli hapa chukua hela hii ukale unapopenda, nikampa mm nikaagiza nikala nikamwambia twende,mbona alinuna balaa, mara unanikosea...unanidharau nk....nikamwambia mm nimeheshimu mawazo yako[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hapa tuko wengi si peke yake afu usibembeleza uone
Siku moja tumeenda kula nikamuambia waiter amsikilize akakataa akasema yeye hali...nikamwambia bas kama huli hapa chukua hela hii ukale unapopenda, nikampa mm nikaagiza nikala nikamwambia twende,mbona alinuna balaa, mara unanikosea...unanidharau nk....nikamwambia mm nimeheshimu mawazo yako[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] to treat a woman right is a complicated thingUlitakiwa umbembeleze ale au ungemlisha kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiona watu wanajengewa na kununuliwa magari,ujue wametumia mapenzi kama sanaa.
Aisee mapenzi ni Sanaa tena ya asili! !!! Mtt anayejua kuchezea mandingo walah utanunua gari na kumjengea kwa huo utundu wake! !! Deep throat sio ya mchezo, inabomoa na kuupanga upyaaa ubongo
Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
ha ha ha haHe he he he we need to learn dix
ha ha ha ha karibuUnanicheka ehh nakuja kuchukua koz
Sawa Miss Edelyn tukienda tofauti na mnavyotaka tunakuwa wahuni basi tutakuwa sawa kila nyanja kama mnavyotokaAsante muhuni mwandamizi
Inatucost sana