Ni ndugu yako!

mimi namalizia bali ni wapenzi wawili... mnaopendana. mimi laiti ningelikuwa huko nyumbani ningeomba siku moja niwakutanishe wawili nione jinsi mnavyozungumza uso kwa uso hakuna kugomban bali mazungumzo tu mazuri.

Mkuu Mizizi, wasikuumize kichwa hawa ni Mapacha kama alivyosema BAK....
Na ukiangalia mjadala wao utajua nani Kurwa na nani Dotto....
Kwa wale watakaoshindwa kujua nadhani Dr Miziz utatupa tabia za Kurwa na Doto afu watu watajionea nani hapo ni nani!
 
Na cha ziada katika agenda mliyonayo mezani, mimi sijaelewa yawaje kila unapoangalia "user name" ya membar plus na miondoko ya uchangiaji, utiririshaji wake wa maudhui utakuta kichwa kinaanza kukupa imaginable image ya mtu.
Mf. Yaweza kujia image ya :
- Huyu Mnene, Mwembamba, Mpole, Mkali, Mweusi, Mweupe, Chotara, Mkorofi, Mkarimu n.k sijajua kama hii kitu na kwa membar wenzangu inawatokea au ni mie tu.

Hiyo sio peke yako tu Mkuu, hata mimi naishia kujenga picha ila naanzia kwenye Avatar husika....
Ila avatar inasaidia sana kwenye kuimagine flan yupoje au ni mtu wa radha zipi
 
Mmmh mi bado ngoja nishinde shinde hapa nadhani nitamjua ndugu, mpenzi, rafiki.... lol labda
 
Na cha ziada katika agenda mliyonayo mezani, mimi sijaelewa yawaje kila unapoangalia "user name" ya membar plus na miondoko ya uchangiaji, utiririshaji wake wa maudhui utakuta kichwa kinaanza kukupa imaginable image ya mtu.
Mf. Yaweza kujia image ya :
- Huyu Mnene, Mwembamba, Mpole, Mkali, Mweusi, Mweupe, Chotara, Mkorofi, Mkarimu n.k sijajua kama hii kitu na kwa membar wenzangu inawatokea au ni mie tu.
mi pia niliwahi kupata hisia hizo
 
Kuna mtu humu nahisi ni baba yangu, maana michango yake kule kwenye siasa.....
 
hi wanajf, kiukwel niliwakumbuka sana.
kutokana na avater na majina ya ubinifu tunayoyatumia inawezekana ukawa hujamjua mtu halis unachat nae hapa jamvin. sasa leo napenda kukupa nafasi ya kuhis nani ndugu yako rafiki, au mume/mke kwa kupitia comments au thread anazozitoa hata kama hujamfaham vizur.
Mi kuna rafiki yangu sana tuko nae muda mwingi na kila nikiingia ofcn kwake namkuta JF ila nimejitahidi kumvizia nijue anatumia jina gani ila sijafanikiwa hadi sasa..yan akiniona anapotea ghafla kwenye window ya JF....Ila bado nakomaa hadi nijua anatumia jina gani
 
Back
Top Bottom