BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,337
Hahahaha. . . . BAK embu sema nani Kurwa nani Dotto.
Kurwa na Doto eeh!!!! Doto ni Rubani 🙂🙂
Hahahaha. . . . BAK embu sema nani Kurwa nani Dotto.
Wa kuning'inia. . . .
... hahahahahah lol! Nishagundua Rubani ila imenichekesha sana lol! 🙂🙂
Kurwa na Doto eeh!!!! Doto ni Rubani 🙂🙂
na uzi au na nini??
....naogopa kuchema banaaaaa
Hiii si ku bali Captain ..Mi ni Kurwa ...
Hiii si ku bali Captain ..Mi ni Kurwa ...
Hahahahahah lol! Basi ni bora wote muwe Kurwa, si wote mliiona dunia saa, dakika na sekunde ile ile!? 🙂
Mnyororo. . .
Ye ndo alitangulia kwahiyo uKurwa unamhusu.
Watu hawakueleweni kuhus huo utani wenu mnapenda nyinyi wote wawiliMi nilishamhisi ndugu yangu na kumuibukia.
Sasa hivi tukitaniana humu watu wanadhani tuna ugomvi.
nyinyi wote wawili wazuri lakini mnawachanganya watu wanafikiri mnagombana kumbe mnataniana tu mimi ninajuwa mnapendana wote wawili kiurafiki mnatanianaMi nilishamhisi ndugu yangu na kumuibukia.
Sasa hivi tukitaniana humu watu wanadhani tuna ugomvi.
Usiposema nafuta urafiki na wewe.
Hahahahahah lol! Basi ni bora wote muwe Kurwa, si wote mliiona dunia saa, dakika na sekunde ile ile!? 🙂
Ye ndo alitangulia kwahiyo uKurwa unamhusu.
mnyororo utaumia sana bana kwanini usitumi tu waya..?
Watu hawakueleweni kuhus huo utani wenu mnapenda nyinyi wote wawili
nyinyi wote wawili wazuri lakini mnawachanganya watu wanafikiri mnagombana kumbe mnataniana tu mimi ninajuwa mnapendana wote wawili kiurafiki mnataniana